Hii enzi yake ilitikisa mbaya

Hii enzi yake ilitikisa mbaya

Hiyo Nokia 6600 pale kariakoo kuna duka inauzwa laki mbili, mimi nikashangaa kwa nini inauzwa bei hivyo wakati hata 3G haina na sio hiyo tu zipo nyingi Nokia Symbian zinazouzwa bei juu unapata mpaka N-Gage, tatizo bei ndo ipo juu. Maana nilikuwa nazitafuta Nokia 701 na N9
 
Kipindi hicho natumia voda yenye msemo "mtandao unaongoza tanzania " a.k.a Tanzania leading network. Walikuwa na logo ya blue... Na vocha za karatasi hadi mia unapata vocha a.k.a tuliita dola. Sio siku hizi siasa tu eti "hapa kasi tu" shame on them
Tanzania leading cellular network
 
Mmh sasa umenipinga lakini bado umekubaliana na nilichoandika. ..By the way Nokia wenyewe nadhani ni last year walikiri kupigwa bao kwa sababu mbali mbali
Ndio nakubaliana na wewe ila siku si nyingi nilipata habari kua nokia wameachana na Gets na wanataka waanze kukifueua kiwandachaoupya tuwangoje tuone
 
Hiyo Nokia 6600 pale kariakoo kuna duka inauzwa laki mbili, mimi nikashangaa kwa nini inauzwa bei hivyo wakati hata 3G haina na sio hiyo tu zipo nyingi Nokia Symbian zinazouzwa bei juu unapata mpaka N-Gage, tatizo bei ndo ipo juu. Maana nilikuwa nazitafuta Nokia 701 na N9
Duh?
Unataka kuzipeleka kwenye maonyesho ya 7/7 mwaka huu?.
 
Hii kitu nilikuwa nayo watu walikuwa wakinishangaa tu. Viva Nokia
1466920480563.jpg
 
nokia kwisha habari yake. enzi hizo tulijua nokia pekee ndo simu
 
Actually Ni 6600 Baba Yang Alikuwa Nayo When I Was Eleven Au Kitu Kama Hicho Ndio Ilikuwa Mara Ya Kwanza Kuona Camera Kwenye Simu And I Thought It Was Gimmicky,,,why A Camera On A Phone,,,lakini Leo Mie Nimo Top 100 Ya Wapiga Selfie Dunian
Haha labda top 1000 tanania duniani? Tunawatu nanafopoa kila waki vuta pumzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom