Hii enzi yake ilitikisa mbaya

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
299,615
752,043
1466653351847.jpg
 
Ila android kaiweza Nokia aisee
Hujui kitu. Kaaka nokia ndo simu inayoongoza kwa kuuza duniani katika top 50. Phone sales of all time wana list ya simu zaidi ya 10. Migogoro ktk uongozi ndo imefanya iwe hivyo. Nokia is beast. Ana zaidi ya karne katika game. Check out for their mid class smartphone NOKIA C1. NEW PROJECT. ANDROID POWERED BY IMPROVED Z LAUNCHER. NOKIA IS BEAST OF ALL TIME. VIVA LEGEND...... teh teh ila hapa natumia samsung
 
Mmh sasa umenipinga lakini bado umekubaliana na nilichoandika. ..By the way Nokia wenyewe nadhani ni last year walikiri kupigwa bao kwa sababu mbali mbali
 
Sijakupinga. Ila uli conclude kwa kusema kana kwamba ujio wa android ndo uliopoteza nokia ktk mainstream. You are totally wrong. Na nikutaarifu kuwa C1 ikitoka tu. Iko mkononi.... Whats up mshana.?
 
Hauko deep ktk tech. I really wish my brother mkwawa aje hapa akupe nondo za ajabu kama wewe unavyotupa za kichawi. So sad mkwawa hana desturi ya kupitia huku. Sema unajua nini unafanya. Much respect! Peace out
Mkwawa and I we are loyal customers of nokia. We know things from the scratch. So sad na type kwa simu. Embu tulia nisome mambo ya kichawi by mtu mzito ft. mshana jr the legend. Greatest of all time
 
Hauko deep ktk tech. I really wish my brother mkwawa aje hapa akupe nondo za ajabu kama wewe unavyotupa za kichawi. So sad mkwawa hana desturi ya kupitia huku. Sema unajua nini unafanya. Much respect! Peace out
Ila nijuavyo mimi Nokia anatumia version ya windows na si android labda aanze sasa
 
Aaanze mara ngapi broo. Hii ni project ya pili kuhusu android OS. alianza na NOKIA X NA NOKIA XL sasa ni C1 TENA ZOTE NI MID TO LOWER CLASS. WALA SIO ZA KUUMIZA KICHWA. USHINDWE MWENYEWE KUNYAKUA C1
 
Back
Top Bottom