Hii Coming 2 America sijaielewa...

Km kawaida Watanzania ktk ubora wetu wa umuch know!!km muv au kitab au nymbo au chchte hujaelewa jua haikutngnezwa kwa ajil ya kichwa chako,na pia ushaur mnaoutoa kw eddy murphy ambae kw bht mbya sana hawez kuuona bora mpelke bongo muv ili atleast warud enz zile za marehem kanumba.
 
Mi sikuelewa yule mfalme alivyokufa huku msiba wake ukiendelea. Na watu wanaimba nyimbo za maombolezo.
Yaani siku ya msiba wake ndio akafa!!

Hii ni Bongo muvi.
Mkuu vyote vipo humo humo kwenye hiyo movie, basi itabidi niitafute haraka ili niiangalie, mfalme kabla hajafa lakini kuna msiba wake unaendelea aiseee 😂🤣🤣
 
Km kawaida Watanzania ktk ubora wetu wa umuch know!!km muv au kitab au nymbo au chchte hujaelewa jua haikutngnezwa kwa ajil ya kichwa chako,na pia ushaur mnaoutoa kw eddy murphy ambae kw bht mbya sana hawez kuuona bora mpelke bongo muv ili atleast warud enz zile za marehem kanumba.

Movie ni nzuri sana sema ndio hivo wataanza kuelewa dj mack akishaanza kuitafasiri
 
Hii ndio muvi ya kwanza kudownload na kuangalia na kuifuta siku hiyo hiyo.

Muvi mbovu hadi inampa uvivu hata Eddie Murphy kuiangalia.
 
Nimegundua watu wengi wanailinganisha na yakwanza ndio maana wanaiona mbaya, binafsi nimeiona ya kawaida tu
 
Hii movie kiukweli wameshindwa kujua wanafanya nini!
1•waigizaji wamekuwa vituko kuliko ile coming2 america ya kwanza maana ilikuwa comedy si sana.
2•wale wazee wa saloon walibidi wafe maana hata baba yake eddy mfalme ile coming2america ya kwanza alikuwa mzee na aliwakuta wazee hao wamezeeka ina maana wale wazee mpaka yeye kazeeka bado wapi.movie imeshindwa
3•kumpata mtoto kirahisi kwa mama malaya si jambo la kitoto labda ulikuwa na mausiano naye mda wowote.
4•alafu kaonesha vituko ambavyo kama wakuu wa majeshi kuwa makomedy wakati ile ya kwanza kulikuwa na watu wasio kuwa na vituko.
Kaangukia pua hii movie inakosolewa sana
 
Umeongea points sana mkuu, mtu kama General Izzi kazingua sana
 
Imejaa matusi mno...

Eti mtu anakimbizana na simba na anamzidi Simba

Eti General kaweka hereni

General anacheza kiduku

Eti mtu anasafisha pussy kwa ulimi ndani ya maji yenye mapovu kwa madakika
 
Unajua mliposema shemeji yetu yupo mule nikasema ni nani? Nikairudia tena kumbe ni bwana wa Vanessa bana, sema kala mshiko japo kacheza scene chache?
 
Back
Top Bottom