Mbaramo primary, tuliomaliza 2009 tukutane hapa nimewakumbuka sana

Aluwatan

JF-Expert Member
Apr 7, 2023
267
573
Ndugu zangu habari mko poaaah...jamani kama kichwa Cha habari kinavojieleza ndugu zangu rafiki zangu tuliosoma wote Shule ya msingi MBARAMO wilayani muheza NIMEWAKUMBUKA SANA tukutane hapa ni miaka mingi jamani...

Wadada Kwa wakaka tujuane jamani Nimewamis mno mno mno wengi sana sijawahi kukutana nao tangu 2009

kama Kuna walimu walitufundisha Kwa miaka Hiyo jamani nawakumbuka sana sana Sanaa wote Kwa majina pamoja na wanafunzi wenzangu

TUJUANE HAPA JAMANI,
MBARAMO PRIMARY OYEEE

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom