Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,783
- 24,215
SIMBA WASIKUBALIWE KUTUMIA UWANJA WA AMAAN
Bodi ya Ligi isiruhusu hili Zanzibar Wana ligi yao na wanautumia huo uwanja kwenye michezo ya ligi kuu ya Zanzibar
Bado hakuna muungano kwenye michezo ndiyo maana Kuna wizara 2 huko Zanzibar na huku bara ,ndio maana michezo bado inazikutanisha timu za bara na Znz kwenye michuano mbalimbali.
Kanuni za Ligi kuu zinahitaji timu kutumia uwanja au viwanja vilivyoanishwa na kukaguliwa na kamati ya leseni ya vilabu kwa Tanzania bara.
Nani atavisafirisha klabu kutoka huku Bara kwenda Zanzibar? Gharama za kuishi huko?
Tuache masihara na ligi .....Simba wachague hata Kirumba lakini sioni mantic ya kuomba mechi kwenda Zanzibar
Je mapato ya FA itachukuliwa na ZFF au TFF?
Ameandika Juma Ayo kuhusu klabu ya Simba kutaka kutumia uwanja wa New Amaan Zanzibar.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app