Hii Coming 2 America sijaielewa...

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
56,849
2,000
Mi nikiona kuna wimbo au movie imetoka halafu sijaelewa huwa naconclude kwamba it's not meant for me. Mi nani hadi nielewe kila kitu kinachotrend?!
Ukitaka kulinganisha movie iliyotolewa miaka 30 iliyopita na sasa, kuweza kuielewa ni tabu sana.

"Coming To America" is a classic.

"Coming 2 America" is a farce.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,867
2,000
Ukitaka kulinganisha movie iliyotolewa miaka 30 iliyopita na sasa, kuweza kuielewa ni tabu sana.

"Coming To America" is a classic.

"Coming 2 America" is a farce.
1. They waited too long to make the sequel...30+ years!

2. I believe when they were making Coming to America, they never knew it was going to be what it became, a cult classic. It was not a movie made with ‘sequel’ in mind.

If you buy a Jeep [Wrangler, Rubicon, etc.,] and customize it, more than likely it will look fly because they are made with customization in mind. But if you buy a Rolls Royce and customize it, you may end up ruining your purchase because it wasn’t made for that.

3. Some things are so good that it’s best to just leave them alone.
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,180
2,000
Ebu kwanza tupe mrejesho, Ni kweli nyimbo ya mondi ipo kwenye iyo muvi?
1615209002247.png
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
56,849
2,000
1. They waited too long to make the sequel...30+ years!

2. I believe when they were making Coming to America, they never knew it was going to be what it became, a cult classic. It was not a movie made with ‘sequel’ in mind.

If you buy a Jeep [Wrangler, Rubicon, etc.,] and customize it, more than likely it will look fly because they are made with customization in mind. But if you buy a Rolls Royce and customize it, you may end up ruining your purchase because it wasn’t made for that.

3. Some things are so good that it’s best to just leave them alone.
Kuna vitu vinakuwa inspired na art.

"Coming To America" wa inspired by art.

When Eddie Murphy acted in different roles etc, that was fresh.

Vingine vinakuwa inspired by money and popular demand.

"Coming 2 America" was inspired by money and popular demand.

The storyline is weak. It's almost like they are riding on the coattails of "Black Panther". Story nzima ya Prince Akeem kuwa na mtoto wa kiume inaonekana so made up, even for a movie.

I know it was supposed to be a comedy.

But then again, there is comedy and there is farce.

"Coming 2 America" was a farce.

It felt like a lot of "Saturday Night Live" skits stringed together.

Come to think of it, between Eddie Murphy, Leslie Jones, Tracy Morgan and Colin Jost, it was a sort of SNL reunion.
 
formula2

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
674
1,000
Mi nimependea tu movie ilivyojaza machenjeu Mara Jenerali atembee kwa kukata mayenu ,mara mtoto wake apige mwembe hewa.N.b Mimi sio mtu wa movie kabisaa nilikuta watu wanaangalia nikaliunga.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
56,849
2,000
Mi nimependea tu movie ilivyojaza machenjeu Mara Jenerali atembee kwa kukata mayenu ,mara mtoto wake apige mwembe hewa.N.b Mimi sio mtu wa movie kabisaa nilikuta watu wanaangalia nikaliunga.
Hii movie yako mkuu.

Kwa watu wanaopenda vitukovituko kama hivyo hii movie wataifurahia sana.

Ndiyo maaana nikasema ilitaka kuwa "Madagascar".
 
njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,341
2,000
Icho kipande sijakisikia/sijakiona ila scene ya Davido akipaform ipo
hakuna kipande cha diamond, davido kaimba na amefanya cameo appearance ila movie ya kizembe sana poor directing, poor writing yaani wameharibu ile classic ya 1988
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom