Hii Coming 2 America sijaielewa...

Mi sikuelewa yule mfalme alivyokufa huku msiba wake ukiendelea. Na watu wanaimba nyimbo za maombolezo.
Yaani siku ya msiba wake ndio akafa!!

Hii ni Bongo muvi.
Mkuu, kwa wazee wa zamani, alikua anaweza kupredict kifo chake. Hujawahi sikia zile mzee anawaita wanae wote anawapa wosia na kuwaaambia kabisa kwamba kesho mi naondoka?
 
Mm namkubaligi Rambo tu huko American movies. Kuna ile movie sijui wakanda alikuwepo na yule mdada mkenya bonge la promo nikaona niitafute, siku nimetulia kwenye Tv naona utopolo tu. Bora hata wazungu ukisikia Viking, Game of Throne unaona kabisa kitu chenyewe. Movie unaangalia haina mzuka hadi unatafuta ya kutafasiri ya dj Mark bado imepoa kama uji.
Mkuu, black panther hujaielewa wewe tu, so far ndio muvi ya Marvel iliyo gross kupita muvi zote. Rest in Peace Chadwick Bossman
 
Hilo lisongi la Domo lipo?
Hakuna sehemu nimeisikia....ingawa wanadai utakuwepo kwenye compilation album ya sound track. Sasa swali langu ni kwamba itakuwepo kwenye compilation album wakati kwenye movie husika haijasikika pahala...how this could be?
 
Movie ya kawaida sana. Bora niendelee Kuangalia korean movies.

Af kwann mnaangaliaga Hollywood movies? wakati Kuna watu kama wakorea wanatengeneza good movies?
 
Movie ya kawaida sana. Bora niendelee Kuangalia korean movies.

Af kwann mnaangaliaga Hollywood movies? wakati Kuna watu kama wakorea wanatengeneza good movies?
kila mtu ana mapenzi yake. ana taste yake kwenye movies. hollywood wana taste yao.. korean movie wana taste yao.. indian movie wana taste yao.
hatuwez kufanana
 
Back
Top Bottom