Hi washikaji leo sina usingizi aliyeko on line aje tukeshe...........!

Hi washikaji leo sina usingizi aliyeko on line aje tukeshe...........!

Nami leo matafuta mkeshaji ila awe wa nguo za kiume.
 
wewe ndio umepinda! hebu jinyooshe kisha usome.

btw nna usingizi sana, natamani ka-tasker na ka-shisha as of nownow! ila mkoloni..............!

Come and see me ASAP....nadhani Meridian sio mbali sana (ila pana makuti pia?)
 
haahaha...unaweka kwanza make up au ndo unamdanganya mkoloni lol...

hahahahaa namweka sawa mkoloni........afu nipitie saluni kubana nywele ndo nije1 si unajua huku hakunaga foleni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom