Hi washikaji leo sina usingizi aliyeko on line aje tukeshe...........!

Hi washikaji leo sina usingizi aliyeko on line aje tukeshe...........!

ama kweli ngoma ya watoto haikeshi, yaani ndo wote mmelala....!
 
ngoja nimpigie poti KakaKiiza, labda anaweza kuja kunipa kampani
 
Last edited by a moderator:
Haya twende kazi popo mwenzangu, hii ni zaid ya hakuna kulala.
Haya sema babu yangu
hebu nipe stori za enzi zako ukivizia mashori, ulikuwa unapigwa kalenda kwa miezi mingapi vile?
 
Haya sema babu yangu
hebu nipe stori za enzi zako ukivizia mashori, ulikuwa unapigwa kalenda kwa miezi mingapi vile?

kwanza jieleze wewe ni demu au shoro? Ila kalenda nimepigwa sana enzi zile namfukuzia bibi yako, kama miezi sita hivi ndo nikasikiwa .sio nyie dakika moja tu unasaula jezi.
 
kwanza jieleze wewe ni demu au shoro? Ila kalenda nimepigwa sana enzi zile namfukuzia bibi yako, kama miezi sita hivi ndo nikasikiwa .sio nyie dakika moja tu unasaula jezi.
Mie ni mdada wa 25,
zamani mlikuwa longo longo, lakini siku hizi keshi ndio mpango mzima kama mtu anazo kwa nini ulaze damu wakati maisha yenyewe ni mafupi

hebu piga demu sound kama utapata kitu, utasota!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom