Hey chit-chat, I'm back again!!

kifua kikubwa si cha kupumzikia wewe, afu nimepita kwenye uzi flani wakakuongelea kuhusu Mwanza, hivi ilikuwaje??

hahahaa, uculize ulize we njoo mwanza uone alichofanyiwa Erickb52, make mpaka leo anatamani arudi. . . .hii ndo the rock city bana!
 
Last edited by a moderator:
Heheheheeee Kipipi ukipewa Umod mi naachana na UMOD kabisa bora niwe memba wa kawaida aisee maana hatutaweza kufanya kazi pamoja lol au bora niendelee kufanya kazi kwa kutokea huku kama siku zote

Ndo utajiju sasa! Paw ameondolewa kwa sababu anapiga sana ban . . . ngoja Invisible atakuja kuwawekea tangazo kwenye notice board! Hapa nipo na maxence na Mike namalizia kusaini mkataba
 
Last edited by a moderator:
Pombekali ngoja nkwambie. C6 baada ya kunioa aliamua kuchange jina toka mtotosix na kuwa C6. na aliomba wazo kwa wadau kuwa ajiite..walimpa majina kadhaa ila mwisho wa sik tuliamua ajiite C6 kuienz heruf ya jina langu

Dah mtoto wa kanda ya ziwa unatisha aisee, hebu legezalegeza asijejikuta anabadili hadi kabila aisee, BTW hongereni sana kwa kupendana kiasi hicho, wengine kwenye mapenzi yao full vurugu, wasiona sketi....!!!! naishia hapa asije akanipiga, yupo hapa utamskia anakuja kujibu mapigo teh teh teh, SIJAMTAJA MTU MIE
 
Last edited by a moderator:
Ndo utajiju sasa! Paw ameondolewa kwa sababu anapiga sana ban . . . ngoja Invisible atakuja kuwawekea tangazo kwenye notice board! Hapa nipo na maxence na Mike namalizia kusaini mkataba

Wamtoe nani!??? Paw, unacheza wewe, mbona kule jukwaa la siasa watu wataitana majina ambayo hata wewe hujawahi fikiria kuyashkia
 
Last edited by a moderator:
pombe kali karibu sana, ila ngoja nikupe yaliyojiri kidogo- Asprin katalikiwa na wakeze wote BADILI TABIA, Yummy na cacico. sweetlady ndoa yake inasuasua, na Kaizer ma swtlo hajambo kabisa ila tu kazidi kunenepa na kupendeza kwani wakeze wote wawili AshaDii na mimi mwenyewe tumezidi kumlea kimanjonjo.
Erickb52 katalikiwa na Amyer, ila cielo ndo anamuokolea jahazi. Mentor kafunga ndoa na wifi yangu wa ukweli Catherine na Ronn M mwanangu wa pekee kamuoa jeneneke Bishanga kafilisika kabisa na siku hizi ndio mfangia banda la mbuzi la Ritz.

kungwi wangu wa ukweli snowhite kaja na huyu ndo anamsaidia muhanga Lonely heart apate sabuni ya moyo wake.
ila naskia pia Paw kazidisha unoko ukienda siasani kimchezomchezo anakulima life ban yeye na Invisible so jukwaa lile uingie ukia tayari una id ya kuzugia .
 
Ahsante sana kwa taarifa mwalimu gfsonwin,kumbe Asprin ndo yamemkuta hayo,simsikitikii sana alikuwa anajiona yeye ndo kidume pekee hapa jamvini na sisi wengine aliona wote ni wadada tu,huyo Bishanga jeuri yote ile kwisha kabisa? Duh, i'm happy to be here again
 
Last edited by a moderator:
pombe kali karibu sana, ila ngoja nikupe yaliyojiri kidogo- Asprin katalikiwa na wakeze wote BADILI TABIA, Yummy na cacico. sweetlady ndoa yake inasuasua, na Kaizer ma swtlo hajambo kabisa ila tu kazidi kunenepa na kupendeza kwani wakeze wote wawili AshaDii na mimi mwenyewe tumezidi kumlea kimanjonjo.
Erickb52 katalikiwa na Amyer, ila cielo ndo anamuokolea jahazi. Mentor kafunga ndoa na wifi yangu wa ukweli Catherine na Ronn M mwanangu wa pekee kamuoa jeneneke Bishanga kafilisika kabisa na siku hizi ndio mfangia banda la mbuzi la Ritz.

kungwi wangu wa ukweli snowhite kaja na huyu ndo anamsaidia muhanga Lonely heart apate sabuni ya moyo wake.
ila naskia pia Paw kazidisha unoko ukienda siasani kimchezomchezo anakulima life ban yeye na Invisible so jukwaa lile uingie ukia tayari una id ya kuzugia .
Erick my love najua umefurahi kuona nimerudi ila sitakuja chitchat ukinimiss mi niko huku jukwaa hili hadi baadae sana. Miss u dia
Heheheheee gfsonwin unamaanisha Amyner gani alonitosa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom