je kama umemaliza form six 2003 na udahiliwa Education (Science) na umri ni miaka 35 napata mkopo?Yaleyale nikimaanisha siyo kipaumbele cha taifa. Hivyo wakimaliza watu wa nyie pamoja na arts mtafikiriwa pamoja
Sasa wew hapo haupati kitu maana miaka imeenda sana.wanatangulia fresh from schoo kwanzaje kama umemaliza form six 2003 na udahiliwa Education (Science) na umri ni miaka 35 napata mkopo?
Je na waliofanya kama private candidate?Sasa wew hapo haupati kitu maana miaka imeenda sana.wanatangulia fresh from schoo kwanza
mbona kwenye Cluster 1 wamesema watakao dahiliwa Education(Science) Priority hawataangalia graduation period?,mwenye uelewa zaidi aje afafanue tafadhali.Sasa wew hapo haupati kitu maana miaka imeenda sana.wanatangulia fresh from schoo kwanza
Si kwa uvivu huu kaka yangu nenda bodi ya mikopo kwenue website yao wameandika kila kitu official in case usipoelewa rudi jukwaani kuulizaWakuu tafadhali msichoke, naombeni msaada kunitajia vitu muhimu vinavyohitajika na hatua za kufuata katika kuomba mkopo wa elimu ya juu..
Usijibu usilojua dogo umesoma vizuri guidelines za HESLB wameandika kigezo cha umri hakitaangaliwa for Health Sciences and ducation in sciences/mathematicsSasa wew hapo haupati kitu maana miaka imeenda sana.wanatangulia fresh from schoo kwanza
Uko sahihi mjomba thats how it na miaka yote hua hawaangalii miaka kwenye suala la medicine na Science teachersmbona kwenye Cluster 1 wamesema watakao dahiliwa Education(Science) Priority hawataangalia graduation period?,mwenye uelewa zaidi aje afafanue tafadhali.
Asante mkuuUtadahiliwa na mkopo utapewa mradi tu uwe umefaulu kujiunga na program husika
Ahsante sana wakuu kwa ushauri wa maana.Utadahiliwa na mkopo utapewa mradi tu uwe umefaulu kujiunga na program husika