HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Wakuu tafadhali msichoke, naombeni msaada kunitajia vitu muhimu vinavyohitajika na hatua za kufuata katika kuomba mkopo wa elimu ya juu..
 
Sasa wew hapo haupati kitu maana miaka imeenda sana.wanatangulia fresh from schoo kwanza
mbona kwenye Cluster 1 wamesema watakao dahiliwa Education(Science) Priority hawataangalia graduation period?,mwenye uelewa zaidi aje afafanue tafadhali.
 
Wakuu tafadhali msichoke, naombeni msaada kunitajia vitu muhimu vinavyohitajika na hatua za kufuata katika kuomba mkopo wa elimu ya juu..
Si kwa uvivu huu kaka yangu nenda bodi ya mikopo kwenue website yao wameandika kila kitu official in case usipoelewa rudi jukwaani kuuliza
 
je kama umemaliza form six 2003 na udahiliwa Education (Science) na umri ni miaka 35 napata mkopo?
Except for Health Sciences and Education sciences hao ndo hawana kikomo cha umri so apply utapata
 
Sasa wew hapo haupati kitu maana miaka imeenda sana.wanatangulia fresh from schoo kwanza
Usijibu usilojua dogo umesoma vizuri guidelines za HESLB wameandika kigezo cha umri hakitaangaliwa for Health Sciences and ducation in sciences/mathematics
 
mbona kwenye Cluster 1 wamesema watakao dahiliwa Education(Science) Priority hawataangalia graduation period?,mwenye uelewa zaidi aje afafanue tafadhali.
Uko sahihi mjomba thats how it na miaka yote hua hawaangalii miaka kwenye suala la medicine na Science teachers
 
Back
Top Bottom