HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Hata chuoni watafanya hayohayo ili wasomeshe .
Mie nashangaaga watu wanahangaika kutumia hela nyingi sana kumsomesha mtt kwa elimu ya chini k.v chekechea analipa mamilioni na ikija ishu ya masomo ya maana ya chuoni ndo mtu anajifunza kazi au utalaamu hapo hataki kutumia hela yake ila anataka serikali ndo igharimike.

Huku ndo unatakiwa ujisifu kuwa unasomesha mtt na sio mwanao kuibiwa hela kwa kuongea english ndo ujisifu kuwa unasomesha kumbe ni english ya kukaririshwa.
Msingi lazima uwe imara mkuu msingi ukiwa ovyo hiyo nyumba haita dumu
 
Msingi lazima uwe imara mkuu msingi ukiwa ovyo hiyo nyumba haita dumu
Ni sawa ila na sio huku ujichokeshe kisa una msingi mzuri au umalizie vibaya .hakuna shm ya kusoma sana na kutumia hela kubwa kama chuo mana ndo unapata ule utalaamu
 
Jaman had nashindwa kuelewa.....kuna tetec et kua kama ukitoka dip ili kupata mkopo n lazima ukae kuanzia mwaka mmoja hom bila kujiunga na chuo chochote....kwa hyo et ukiunganisha mkopo hupat.....wengne wanasema et mkopo unatolewa kwa form 6 wenye 1&2...wenye 3 special dip...halaf nyie wengne endeleen kuomba wazaz wenu.......peoples sina hakika na hli....ila natka kuuliza linaukwel wwte??
"For indirect applicants,who for the purpose of these guidelines means applicants who Have been admitted to higher education institutions on the basis of Full Technician Certificates or DIPLOMAS,will be ELIGIBLE for loans IF THEY COMPLETED TECHNICAL AND VOCATIONAL EDUCATION TRAINING NTA LEVEL SIX (6) BETWEEN 2014 AND 2016"
Unajua watu huwa wana kawaida ya kuyakuza mambo so fanya application mkuu maelekezo ya HESLB wenyewe yapo clear kabisa ukisikiliza maneno ya watu utaichelewesha safari ya kuyafikia malengo yako.
 
Naomba kuwauliza m wana JF mm ni form six leaver ina maana wanavyosema hatutapewa mkopo wana arts ni ada tu au tunanyimwa vyote yaan ada na boom..naomba mnisaidie kwa hilo maana am shaking
Hivi ni wapi HESLB imetamka kwamba wana Arts hawatapewa mkopo!!.Non-priority haimaanishi kuwa hautopata mkopo bali utakuwa considered baada ya zile coarse zenye priority kuwa considered.Back to your Question,Ada na boom vyote ni mkopo huohuo.Ukipata mkopo maana yake ni kwamba utalipiwa sehemu ya ada/ada yote na utapewa pesa ya accomodation(boom) vilevile.Ukikosa mkopo maana yake hupati chochote,yani hulipiwi ada wala hupewi pesa ya kujikimu.
 
Kuna jamaa kaniambia eti nisijisumbue kuapply kwa sababu ya hkl yangu kwa sababu nitapoteza tuu hela yangu[emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
haahahaaa! Art wakaombe mkopo Kenya
wameishaaaaaaaaaaa!
Hatuitaj wanasiasa wengne alaf hawa ndio wanaoanzishaga maandamano university
Ila jaribun ualim anaweza mkapewa
 
Kuna jamaa kaniambia eti nisijisumbue kuapply kwa sababu ya hkl yangu kwa sababu nitapoteza tuu hela yangu[emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Mnanishaurije hapo na mm Mpango wangu ni education
 
Kuna jamaa kaniambia eti nisijisumbue kuapply kwa sababu ya hkl yangu kwa sababu nitapoteza tuu hela yangu[emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
HKL ualimu wa kiswahili apply tu better to try than living with regret that you didnt even try
 
Bodi ya mikopo Tanzania (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi rasmi ya mikopo kwa kutoa Guidelines kwa mwaka 2016/2017 hivyo wananchi wote mnaombwa kusoma kwa makini masharti kabla ya kufanya application mwisho wa ku apply ni 31st July tembelea www.heslb.go.tz for more information
Asante
 
Mkuu kuna kambi nyingine huongozwa kikuda maana wanaweza kuwabeba mpaka E cafe Na kuwarudisha mpaka mmalize zoezi.labda kwa kuwa ni ishu ya Mkopo BT kwa wenzangu tuliokuwa 821kj mwaka Jana kuomba vyuo hatukupewa ruhusa kwenda home na tulipewa carandinga hadi kunako mahali walipoandaa BT kwakuwa in mkopo labda.
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako japokuwa wengne wanatukatisha tamaa kabisa
Kama riziki kapanga mungu mwanadamu hata ufanyeje kati ya wale wachache watakao pewa arts kwanini usiwe wewe mambo ya chuo kuna mtu anweza akawa ana two akakosa na mwenye 3 akapata simple!
 
Mkuu kuna kambi nyingine huongozwa kikuda maana wanaweza kuwabeba mpaka E cafe Na kuwarudisha mpaka mmalize zoezi.labda kwa kuwa ni ishu ya Mkopo BT kwa wenzangu tuliokuwa 821kj mwaka Jana kuomba vyuo hatukupewa ruhusa kwenda home na tulipewa carandinga hadi kunako mahali walipoandaa BT kwakuwa in mkopo labda.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] shikamoo jeshi
 
Kama riziki kapanga mungu mwanadamu hata ufanyeje kati ya wale wachache watakao pewa arts kwanini usiwe wewe mambo ya chuo kuna mtu anweza akawa ana two akakosa na mwenye 3 akapata simple!
Ni kweli mkuu kwa sababu kuna jamaa alinikatisha tamaa kabisa akaniambia hiyo sahau coz napoteza hela tuu
 
Back
Top Bottom