Hivi sheria zao za ajabu ni zipi?Yap sasa we usiposoma ukafaulu ukumbuke mama ndalichako na magufuli wapo na sheria zao za ajabu
unakua umekosa kila kituok swali langu la msingi mkopo ukikosa ina maana n tuition fee tu au n vyote?
Bibi Mikopo na Babu yupo uliza sehemu hujaelewa usaidiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bibi Mikopo njoo usaidie vijana..!wengi wamechanganyikiwa,wamesoma guidebook ila hawajaelewa
Hatari za hatari, usiombe ikukute, sali sana maanaHatari!
Mkuu umenifahamu Lakini??kusoma kote guidebook sijaona sehemu iliyoandikwa criteria ya dv1&2 na kama ipo u niambie ni pg ipi
Wewe kijana mimi sio mwanafunzi kama wewe wenzio wanaongea kwa facts wewe unaleta maneno matupu..guide book hipo hapo juu weka hapa hizo sheria mbovu usipotoshe wenzio.Subiri ufike chuo alaf uondolewe kama wale wa UDOM ndo utaelewa nazungumza sheria gani
Hata mimi huwa unanitatiza mkuu ni afadhali wangekuwa wanasubiria matokeo ndo wasisitizwa kuwa ombeni mkopo ndani ya hata ya wiki tatu.na mikopo hii mpaka mtu anaenda chuoni october bado hajapata ndo anaenda kuhangaikia chuoni.Looks you have a point. Unaomba mkopo kama una sifa za kudahiliwa kuingia higher education. Kama bado hujajua matokeo, then ni kuwa wanataka wakusanye fedha hata kwa ambao wamefeli mitihani and it is non refundable!
Hata chuoni watafanya hayohayo ili wasomeshe .Anyway for a matter of discussion, kigezo hicho siyo realistic! mtu kusoma private inaweza kuwa wazazi walikuwa bado employed, kusaidiwa na wasamalia wema, kwa kuuza mali ulizo nazo na mazingira kama hayo.
Kweli kabisa mkuuHata chuoni watafanya hayohayo ili wasomeshe .
Mie nashangaaga watu wanahangaika kutumia hela nyingi sana kumsomesha mtt kwa elimu ya chini k.v chekechea analipa mamilioni na ikija ishu ya masomo ya maana ya chuoni ndo mtu anajifunza kazi au utalaamu hapo hataki kutumia hela yake ila anataka serikali ndo igharimike.
Huku ndo unatakiwa ujisifu kuwa unasomesha mtt na sio mwanao kuibiwa hela kwa kuongea english ndo ujisifu kuwa unasomesha kumbe ni english ya kukaririshwa.