HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Umefuatilia ada ya hiyo program? Ada ni 10mil. HESLB wanatoa kati ya laki 9 na 1.5mil.
Nafahamu hilo lakini sifahamu kama ilishawahi kuwekwa wazi kama watakaoomba hiyo kozi hawatajumuishwa kwenye muongozo wa bodi kwa ajili ya hiyo sababu
 
Nafahamu hilo lakini sifahamu kama ilishawahi kuwekwa wazi kama watakaoomba hiyo kozi hawatajumuishwa kwenye muongozo wa bodi kwa ajili ya hiyo sababu
Japo haikuwekwa kwenye program za engineering lakini nasikia HESLB wanatoa kati ya 900,000/=-1.5m. Hiyo program sijui NIT wameileta kwa ajili ya Watanzania wote wanaohitaji au ni kwa watu fulani hasa in service wenye diploma?
 
Ni program ya watu wote waliohitimu form six na wenye diploma either upo kazini au haupo kazini
 
Wakuu nauliza tu ukishajaza fomu unatakiwa ukasainishe kwa mwenyekiti Katibu na mjumbe wa mtaa ila mie Niko mbali na home je nikimtumia mwenyekiti wa huku na wakati taatifa za makazi ni za kwingine kuna ubaya? Ama ni kosa?
 
kama umekosea kujaza fomu yako, mfano umekosea kujaza tarehe na mwaka wa kuzaliwa au taarifa zozote na tayari umesha print, unaweza ukaandika baarua yako ikieleza tatizo lako kisha ambatanisha na fomu ya maombi ya bodi ya mkopo baada ya hapo unaweza kuituma HESLB,
kwa taarifa zaidi piga +255 22 550 7910
mkuu shukrani, ila nina tatizo..

kuna mdogo wangu mmoja ana utata na tarehe ya kuzaliwa... tarehe ya kwenye cheti cha kuzaliwa inatofautiana na tarehe ya kuzaliwa aliyoijaza kwenye usajili wake wa kidato cha sita necta.

japo tarehe ya kwenye cheti ndio sahihi..

je haitaleta madhara?
 
kuna mdogo wangu ana utata na tarehe ya kuzaliwa... tarehe ya kwenye cheti cha kuzaliwa inatofautiana na tarehe ya kuzaliwa aliyoijaza kwenye usajili wake wa kidato cha sita, necta..

japo tarehe ya kwenye cheti ndio sahihi..

je haitalete madhara kwenye application yake ya mkopo?
 
Kama umehitimu kidato cha 6 weka namba yako ya mtihani kidato cha 6 hapo na mwaka uliohitimu

Naomba kuuliza mkuu ivi mdhamini awe mtu wa aina gani...mfanyakazi au hata yule aliyestaafu pia waweze kumuweka kama mdhamini wako
 
Jamani nimejaza fomu online nimemaliza. Pale juu kuna kimessage kinapita kuwa my form is ready for printing. Nimeclick application status inasema kuwa lazima niupload picha yangu na ya mdhamini. Je ni lazima kuziscan passport size hizo na kuupload ndo niweze kuprint?
 
Naomba kuuliza mkuu ivi mdhamini awe mtu wa aina gani...mfanyakazi au hata yule aliyestaafu pia waweze kumuweka kama mdhamini wako
Katika fomu mdhamini ni mzazi wako kama pale umeandika wapo hai au kama wamefariki ni mlezi wako awe amestaafu au hakusataafu.
 
Jamani nimejaza fomu online nimemaliza. Pale juu kuna kimessage kinapita kuwa my form is ready for printing. Nimeclick application status inasema kuwa lazima niupload picha yangu na ya mdhamini. Je ni lazima kuziscan passport size hizo na kuupload ndo niweze kuprint?
Ku upload picha ni mandatory tafadhali usiclick kuprint kabla ya Ku upload picha yako na ya mdhamini.
 
Unapata. Cha msingi uwe na vigezo vyao. Na sijawahi kuona, kusikia wala kupapasa kwamba moja ya kigezo cha kutokupata mkopo ni kupitia diploma. SIJAWAHI.
Kupata anapata ila kwenye mazingira ya uchache wa rasilimali iliyopo mara nyingi priority huwa anapewa alietoka A-Level kwani anahesabiwa hana ujuzi kabisa ukimlinganisha na mwenye Diploma, miaka ya nyuma kama mtu ana Diploma alafu sio mwajiriwa wa serikali ilikuwa wengi wanapigwa chini though miaka ya karibuni wamekuwa na uungwana kwa kutoa mkopo hata kwa wenye Diploma
 
Nadhani kabla ya kufikia hiyo hatua kuna sehemu unajaza kama wewe f6 au diploma nadhani ukijaza dip itakupa option ulikochukua dip ila Sina uhakika. ngoja wenye kufahamu waje.

Mkuu naomba kuuliza nimekosea namba yangu ya mtihani wa kidato cha 6 na nimeshaiprint nafanyaje??
 
Mkuu naomba kuuliza nimekosea namba yangu ya mtihani wa kidato cha 6 na nimeshaiprint nafanyaje??

andika barua ikielezea tatizo lako then uambatanishe na fomu yako ya maombi ya bodi ya mkopo
au nicheki 0764531080
 
kwa level ya diploma naweza kuomba mkopo nataka kusoma diploma ya maendeleo ya jamii
 
andika barua ikielezea tatizo lako then uambatanishe na fomu yako ya maombi ya bodi ya mkopo
au nicheki 0764531080

Katika fomu kuna kipengele cha kuambatanisha cheti cha form 6 kwa sie tuliomaliza mara hii vyeti havijatoka inakuwaje hii
 
Back
Top Bottom