HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Mimi nilivyoona uki click print itatoka fomu yako yenye ukurasa 6 katika mfumo wa PDF sasa ukiangalia pale juu ya Fomu upande wa kulia kuna ule mshale unaoelekea chini kama alama ya ku download ukiclick hapo utakuwa umedownload tayari.
Basi wakati wowote ukitaka kuprint unafungua kutoka katika folder uliyoihifadhi na kuprint.
Asante kwa taarifa
 
Post form four education inakuweje wadau? Nijuzen on this maanake kila nikijaza napata shiidaaaa sana
 
Post form four education inakuweje wadau? Nijuzen on this maanake kila nikijaza napata shiidaaaa sana
Kama umehitimu kidato cha 6 weka namba yako ya mtihani kidato cha 6 hapo na mwaka uliohitimu
 
Naomba. Msaada wakati wa kulipia form wataka ajaze namba ya account hiyo namba ni ippi
 
Wakuu samahanini tena ..ukisha print fom kuna sehemu ya kujaza serikali ya mitaa, yan mwenyekiti, katibu na mjumbe. Sasa nauliza wanajaza wote watatu au mmoja tu?! Afu mjumbe nde balozi au!! Afu na pale kwa kamishna wa viapo nde anajaza nan sasa!! Naombeni msaada jamani ni hayo tyu.
 
Ukiangalia matakwa ya fomu yanasema Tunapendekeza/Hatupendekezi hivyo wanatakiwa wajaze wote na Kamishana wa viapo ukienda kwa hakimu atakusaidia.
 
Ndugu wana jf naombeni kuuliza wanafunzi wanaosoma private school A level huwa hawapewi mkopo pale wanapojiunga na elimu ya juu je kuna ukweli wowote wadau juu ya hili
 
Kupewa mkopo inafata vigezo vingi sana na alie soma private kama hana matatizo mengine ya kijamii kama kufiwa ulemavu wa wazazi kustaafu kwa wazazi hupewa asilimia ndogo lakin mkopo anapata...usiache kuomba mkopo
 
Mh hakuna ukwel sa hiz priority ya mkopo kwanza kabsa ni kwa wale wa masomo ya sayansi cozi kama MD education in math and science kwa msaada zaid kasome guidelines za Heslb
 
kama umekosea kujaza fomu yako, mfano umekosea kujaza tarehe na mwaka wa kuzaliwa au taarifa zozote na tayari umesha print, unaweza ukaandika baarua yako ikieleza tatizo lako kisha ambatanisha na fomu ya maombi ya bodi ya mkopo baada ya hapo unaweza kuituma HESLB,
kwa taarifa zaidi piga +255 22 550 7910
 
Back
Top Bottom