HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Habari za asubuhi wanajamvi bila shaka ni wazima kabisa ningependa kuwasilisha uzi wangu kama ifuatavyo
Je kuna ukwel kua ya kwamba kwa wanafunzi waliohitimu form six 6 mwaka 2016 kwa combination za arts na commercial wanaweza wasipewe mkopo hata kama wampata division One na Two? Maana sielew niapply au niache naomben ushauri jaman coz izi priority course?? Msaada wenu na ushauri wenu wadau nawasilisha
Ahsanten nawatakia asubuhi njema na siku njema pals ..... Stay blessed[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Just appl

Just apply, watachanganua wenyewe kuliko kuacha!
 
Soma guidelines za Bodi 2016/17. Watapewa mikopo watakaochagua kozi za kipaumbele kundi la kwanza na pili kisha waombaji wengine watapewa kulingana na bajeti.
 
Habari za asubuhi wanajamvi bila shaka ni wazima kabisa ningependa kuwasilisha uzi wangu kama ifuatavyo
Je kuna ukwel kua ya kwamba kwa wanafunzi waliohitimu form six 6 mwaka 2016 kwa combination za arts na commercial wanaweza wasipewe mkopo hata kama wampata division One na Two? Maana sielew niapply au niache naomben ushauri jaman coz izi priority course?? Msaada wenu na ushauri wenu wadau nawasilisha
Ahsanten nawatakia asubuhi njema na siku njema pals ..... Stay blessed[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Soma sifa Za kuomba mkopo waliziweka mtamdaoni
 
Bodi ya mikopo Tanzania (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi rasmi ya mikopo kwa kutoa Guidelines kwa mwaka 2016/2017 hivyo wananchi wote mnaombwa kusoma kwa makini masharti kabla ya kufanya application mwisho wa ku apply ni 31st July tembelea www.heslb.go.tz for more information
asante sana mkuu
 
Jamanii naombeni msaada wenu,ninapata tatizo kwenye kipengele kimoja tu cha Applicant disability nikiweka NONE alafu niki save nakuta imeji save Other.Nimejaribu kurudia mara kwa mara Lakini bado haibadiliki.Please I need your help
 
WAUNGWANA NAOMBA KUJUA UKWELI KUHUSU TETESI ZA KUTUMIA PENI YENYE WINO MWEUSI KUSAINI FOMU ZA MIKOPO???
 
WAUNGWANA NAOMBA KUJUA UKWELI KUHUSU TETESI ZA KUTUMIA PENI YENYE WINO MWEUSI KUSAINI FOMU ZA MIKOPO???
Mkuu wameandika kabisa ujaze fomu kwa pen nyeusi,zingatia masharti ukikosea kidogo inakula kwako.
 
Mbona inazingua ..nimelipa kwa M-PESA..nimejisajili OLAS lkn kila nikilog in inakataa ..
 
jaman wadau tusaidieni kwenye hii ishu ya kuambatanisha cheti cha form six ni lazima???
 
Kwa Wale Watakao omba "Priority Courses Clustee I" hawa Watapata Mkopo bila Ya Kujali Mwaka Waliomaliza Masomo Kama ni below 2014.

Priority courses cluster I include: -
i) Education (Science) and Education (Mathematics);
ii) Health Sciences (Doctor of Medicine, Dental Surgery, Veterinary Medicine, Pharmacy, Nursing, Midwifery, BSc in Prosthetics and Orthotics, BSc in Physiotherapy, BSc in Health Laboratory Sciences, BSc in Medical Laborator Sciences and BSc in Radiotherapy Technology) and other Health Sciences;
iii) Civil and IrrigationEngineering;
iv) Petroleum and Gas Engineering;

All Direct and Indirect applicants admitted to pursue priority Courses Cluster I will be eligible for loans without considering graduation period (Form Six or other Equivalent Qualifications).
Mkuu hapo wameandika wanaopaswa kupewa mkopo ni between 2014_2016 .Je vipi kwa waliomaliza 2014 maana kwa neno between naona kama vile 2014 wanakua excluded.Naomba ufafanuzi hapo tafadhali.
 
jamani nisaidieni ... mm nilikuwa nalipia ile elfu 30 kwa mpesa ili niweze kupata zile namba(ID) za kuniwezesha kujaza fomu ya mkopo lakini nimekosea na pesa imekatwa na voda, pia nimewapigia voda wameniambia niwasiliane na bodi ya mikopo.. je inaweza kurejeshwa ??
 
Back
Top Bottom