HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

icho kipengele cha post form 4 kwasisi tulio maliza diploma tunajaza nini ??
Nadhani kabla ya kufikia hiyo hatua kuna sehemu unajaza kama wewe f6 au diploma nadhani ukijaza dip itakupa option ulikochukua dip ila Sina uhakika. ngoja wenye kufahamu waje.
 
Wala siyo wizi mana inawabidi wafanye ivo ili kuwapa TCU na wao muda wa kudahili wanafunzi vyuoni , ingekuwa km kipindi cha nyuma walipo kuwa wanamaliza six mwezi wa pili afu wakalazimishwa kuomba mkopo kabla ya matokeo tungesema n wizi bt now inabidi wafanye ivo due to time limiting factor.
 
Wakuu naomba mnisaidie:

Nimemjazia mtu form ya mkopo na kucomfirm kila kitu kipo sawa ila nikiprint baadaye Index no. ya form 6 haionekani.

Halafu pia wanahitaji form itumwe na matokeo ya form 6 na hayajatoka.

MSAADA TAFADHALI.
 
Angalia index inaeza ikawa wrong.. tumia mfumo wa S.0109.0506.2016 na uambatanishwaji wa cheti cha form 6 io haikuhusu labda kama ni umemaliza 2015
 
Soma juu [emoji115][emoji115]
 
Wakuu naomba mnisaidie:

Nimemjazia mtu form ya mkopo na kucomfirm kila kitu kipo sawa ila nikiprint baadaye Index no. ya form 6 haionekani.

Halafu pia wanahitaji form itumwe na matokeo ya form 6 na hayajatoka.

MSAADA TAFADHALI.

Hiyo fomu ina ukurasa 6 na kati ya hizo sita ukurasa wa kwanza una taarifa ya elimu ya mwombaji na kama umejaza vizuri na ku confirm kila hatua na mfumo ukakuruhusu kuprint hivyo ukurasa wa 1 mwisho watakuwa wameweka jina la shule uliyosoma na namba yako ya mtihani wa f6 =Sxxxx.xxxx.xxxx.Kuhusu cheti cha f6 kwa walomaliza 2016 nadhani bodi wanajua bado ila kwa waliomaliza kabla ya hapo wanatakiwa kuattach.
 
Angalia index inaeza ikawa wrong.. tumia mfumo wa S.0109.0506.2016 na uambatanishwaji wa cheti cha form 6 io haikuhusu labda kama ni umemaliza 2015
Sawa mkuu na kama tulishakosea hapo na kuprint form inakuaje? Kwasababu naona pale hawajaweka namna ya kuedit hiyo index no. na kuprint tena
 
Hiyo fomu ina ukurasa 6 na kati ya hizo sita ukurasa wa kwanza una taarifa ya elimu ya mwombaji na kama umejaza vizuri na ku confirm kila hatua na mfumo ukakuruhusu kuprint hivyo ukurasa wa 1 mwisho watakuwa wameweka jina la shule uliyosoma na namba yako ya mtihani wa f6 =Sxxxx.xxxx.xxxx.Kuhusu cheti cha f6 kwa walomaliza 2016 nadhani bodi wanajua bado ila kwa waliomaliza kabla ya hapo wanatakiwa kuattach.
Tatizo baada ya kuprint hii form jina la Shule ya Form Six halionekani, na index no. Nayo sio sahihi mkuu
 
Sawa mkuu na kama tulishakosea hapo na kuprint form inakuaje? Kwasababu naona pale hawajaweka namna ya kuedit hiyo index no. na kuprint tena
Duh walikutahadharisha kuwa kabla ya kuprint hakiki na kuedit ulipokosea kwani ukisha kubali na kuprint huwezi kuedit tena. Kwaa ushauri wapigie HESLB labda watakuelekeza.
 
Wakuu Mimi ndo naanza apply Leo naomba kujua vitu vya muhimu ni vip.
 
Sawa mkuu na kama tulishakosea hapo na kuprint form inakuaje? Kwasababu naona pale hawajaweka namna ya kuedit hiyo index no. na kuprint tena
Hahaha.. Lipia tena ulog in bro.. cz uki ipeleka ivoivo.. utakosa mkopo n utatolewa kwenye listi ya watu waliokosea.. kubali kuingia hasara cz hamna editing ukisharuhusu kuprint
 
Kaka bahati nzuri nimemwona jamaa wa HESLB akaniambia kuwa nimbatanishe barua inayoelezea tatizo hilo katika form ya mkopo.
 
Daah wakuu nisaidieni jamani nme log out ila najaribu ku login as registered user lakini inagoma ...nfanyeje jamani nsaidieni plizz
 
Pale wanapouliza uweke Index no. kabla ya password weka S.xxxx..xxxx.xxxx usiweke slash / badala yake weka dot .

Na uweke password sahihi uliyoitumia wakati wa kuregister
 
kwahyo inatakiwa kuprint ya rangi au black and white.
 
Back
Top Bottom