In christ alone
Member
- Jul 2, 2016
- 51
- 33
Naomba nisaidiwe nawezaje kupata password yangu ya account ya heslb, maana nimeimiss place na kwenye email yangu hawajanitumia, wakuu msaada tafadhar.
poa mdau inekubali teyari. AkhastePale wanapouliza uweke Index no. kabla ya password weka S.xxxx..xxxx.xxxx usiweke slash / badala yake weka dot .
Na uweke password sahihi uliyoitumia wakati wa kuregister
yoyote hamna shida. cz passprt mtandaoni ni tayri colouredYa rangi
yoyote hamna shida.. cz mtandaoni passport tayr ina rangi.. so hawa conside icho sana, ucjalikwahyo inatakiwa kuprint ya rangi au black and white.
mkuu Alex_Mnyenye naomba nsaidie kuhusu ukubwa wa picha maake bado sjajua afu na benki akaunti ni api inaekwa? Kama kuna iyo seemu naomba nsaidie mkuu.yoyote hamna shida.. cz mtandaoni passport tayr ina rangi.. so hawa conside icho sana, ucjali
Hakuna benki a/c inayoitajka saiv. kama utabahatka kupata mkopi then ac. yako wataichukua chuonii.. Acount ni ile uliofungua ukaanza kujaza io ndo ac yako nw.. ukubwa wa picha ni 1mb needed upload kabisa, mwaka huu ni tofauti na mwaka jana walibandikamkuu Alex_Mnyenye naomba nsaidie kuhusu ukubwa wa picha maake bado sjajua afu na benki akaunti ni api inaekwa? Kama kuna iyo seemu naomba nsaidie mkuu.
Hao imekula kwao. Wengi watasubiri mwakaniPamoja nakukamilisha nawaza ni vipi kule JKT wataruhusiwaje ili wasaini na kufika mahakamani kuapa.
Pia nauliza kama inatakiwa Printer ya Rangi kuprint hii fomu au hata wino mweusi inaweza tumika?
Vikishindwa kupata wanafunzi sisi wakatoliki tutageuza olevel & advance school wewe na serikali yako jengeni vyuo vyenu vya ufundi Achani utegemezi wa roman empireHapa naona anguko kubwa kwa vyuo uchwara vya binafsi ambavyo kimbilio lao kubwa ilikuwa wale wa div. 3. Kama ndo hivi hawatapata wateja maana hawatakuwa na mkopo. Nashauri hivyi vyuo vyao uchwara kama vya SAUT vilivyowekwa kila mkoa na pengine kila wilaya vikabidhiwe serikalini vigeuzwe vyuo vya ufundi.
Nenda kwenye kipengele cha Preliminary..... Ujaze halafu ukimaliza kile kipengele kitajitokeza.wakuu mi nishalipa, Nishaweka picha kwenye person detail ila sion sehemu yeyote ya kutumia ama kujaza either namba ya Form six wala nn naona kila kona ni namba ya 4M four, Nimemaliza form 6 mwaka huu je uombaji wetu ni tofaut na wa wengine? 2: kuna form tofauti na hizi zilizopo hapa kweny navigation site kwenye hi site yao, maana kuan comment nimezisoma humu zimenichanganya
Hao imekula kwao. Wengi watasubiri mwakani
Ngoja nikusaidie. Ukiclick kwenye option ya kuprint, maombi yako na taarifa zako zitajidownload, then unaweza kuifungua na kuprint ili kukamilisha hatua nyingnezo.Mi naomba kuuliza, ukishafika kwenye kipengele cha mwisho kabisa kinachosema "print" uki press inakuaje kama unatumia computer na huna access na printer kwa muda huo?
Shukrani mkuuNgoja nikusaidie. Ukiclick kwenye option ya kuprint, maombi yako na taarifa zako zitajidownload, then unaweza kuifungua na kuprint ili kukamilisha hatua nyingnezo.
But you have to be careful with the details you have provided. Ikiwezekana pitia kila moja kujiridhisha usahihi wake kwa ukishacommand kuprint hutoweza tena kuedit
Best of luck