Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Msaada. Mwanangu kamaliza A. level mwaka huu. Amejaribu kulipa kwa M/ Pesa kiasi cha 30 000 elfi kama ilivyoelekezwa, Helsb, lakini mara zote hupata majibu kuwa ,Imefeli,. Nifanyeje nami sioni maelekezo zaidi. Natanguliza shukrani.Bodi ya mikopo Tanzania (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi rasmi ya mikopo kwa kutoa Guidelines kwa mwaka 2016/2017 hivyo wananchi wote mnaombwa kusoma kwa makini masharti kabla ya kufanya application mwisho wa ku apply ni 31st July tembelea www.heslb.go.tz for more information