Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
nimejaribu imeshindika....wewe umeweza?mie nilichokifanya.......mepiga picha kwa simu (passport size) afu nikaedit kwa PC kuweka dimension wanayotaka......unafungua picha yako kwa (open with Microsoft Office Picture Manager) thereafter una click Edit Pictures then pembeni kulia kuna change picture size kisha Resize,,,,,,halafu utaweka hizo dimensions kwenye Custom width X height ambazo ni 120 X 150
baada ya hapo upload picha yako.....