ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Zipo app za kuweka size yao ni rahisi sanaTatizo lingine hawa jamaa sehem nyinginey
saiz yaan ni complicated kweli km kwenye ku-upload photo.
Kuna vidimension wameviweka vilaleta shida kuvifikia.
Ukitaka kufanya mwenyew labda kwa kutumia camera ya simu yako yaan haiwezekani, imeshapita saa zima sasa nahangaika na kuupload hizo photo.