HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

wadau.....mwenye kujua.....eti wameandika upload your photo
wanasema ivi.........( You have not Uploaded your Photo,You have not Uploaded Guarantor's Photo) kwa hiyo kipindi hiki hakuna cha kubandika picha ni mwendo wa ku upload tuu...........AU...???
mnisaidie hapo wapendwa.
 
Naomba kuuliza jamani, mtu wa mwaka wa tatu anaweza kupata mkopo.. I mean mkopo kwaajili ya mwaka wa tatu
 
wadau.....mwenye kujua.....eti wameandika upload your photo
wanasema ivi.........( You have not Uploaded your Photo,You have not Uploaded Guarantor's Photo) kwa hiyo kipindi hiki hakuna cha kubandika picha ni mwendo wa ku upload tuu...........AU...???
mnisaidie hapo wapendwa.
Hapa Tusubiri Waliokwisha Kukamilisha taratibu za Kuapply Waje Watupe ufafanuzi wa Kina, Lakini naona Kila Mtu Kimya Why??????
 
wadau.....mwenye kujua.....eti wameandika upload your photo
wanasema ivi.........( You have not Uploaded your Photo,You have not Uploaded Guarantor's Photo) kwa hiyo kipindi hiki hakuna cha kubandika picha ni mwendo wa ku upload tuu...........AU...???
mnisaidie hapo wapendwa.
Unatakiwa kuupload picha mm nimefika had hpo ili kila nikiupload inasema picha imezid max height or width ila ndo ntka niipunguze nichek km iatkubal
 
Unatakiwa kuupload picha mm nimefika had hpo ili kila nikiupload inasema picha imezid max height or width ila ndo ntka niipunguze nichek km iatkubal

mie wanaandika tu hivi,,,,,,,
Guarantor's Photo (Picha ya Mdhamini)
The image you are attempting to upload exceedes the maximum height or width.

Pamoja na kwamba najitahidi sana kupunguza izo height na width
 
Ili upload picha hizi ndo dimension znazotkiwa km za passport

Width 35 mm
Height 45 mm
 
mie nilichokifanya.......mepiga picha kwa simu (passport size) afu nikaedit kwa PC kuweka dimension wanayotaka......unafungua picha yako kwa (open with Microsoft Office Picture Manager) thereafter una click Edit Pictures then pembeni kulia kuna change picture size kisha Resize,,,,,,halafu utaweka hizo dimensions kwenye Custom width X height ambazo ni 120 X 150

baada ya hapo upload picha yako.....
 
Mkuu umeweza kujaza hpa kwny post form four education?
 
Nauliza tu je kwa walio JKT itakuwaje? Je mtu mwingine mfano mzazi anaweza kujaza hiyo form kwa niaba ya mwombaji(mwanafunzi)
 
Mkuu umeweza kujaza hpa kwny post form four education?

Ni kipengele hicho tuu ndo kimegoma..........hiyo post form IV education.....sijui inakaaje sasa, au ni mpaka results zitoklabda.!!!??? Coz sielewi elewi vile....!!!!
 
Siyo kila mtu anapaswa kusoma Chuo Kikuu. Hili ndilo jibu langu.
Mbona hata chuo kikuu kuna ngazi ya cheti? Suala la elimu kwa mtu anaefuatilia sana hawezi kushadadia mfumo wa kibaguzi uliowekwa na wakoloni kwa malengo maalum. Nadhani inabidi suala la elimu tuliangalie katika mtazamo wa kila mtu kuwa na haki ya kupata elimu kwa ngazi yoyote. Sijui kama hata wewe utakuwa na fikra za kitabaka "mimi na digrii yule ana diploma". Kama itakuwa hivyo basi utakuwa sahihi.

Shebbydo
 
Naomba kuulza iv ao wanaomba mkopo ni wanafunzi wa chuo kikuu tu ama na walomaliza form four wakachaguliwa vyuo vya ufundi kama MIST,DIT,ATC nao wana wanaomba?
 
Ni kipengele hicho tuu ndo kimegoma..........hiyo post form IV education.....sijui inakaaje sasa, au ni mpaka results zitoklabda.!!!??? Coz sielewi elewi vile....!!!!
May be namba za form six hawajaziingiza kwenye system maana hata mimi imesumbua
 
NIMEWAPIGIA SIMU NIMEONGEA NAO WAMESEMA WAMELIPATA HILO TATIZO NA WAPO WANALISHUGHULIKIA KWA WALE WALIO MALIZA FORM SIX MWAKA 2016 HIVYO WANASUBIRI NAMBA ZA WATAHINIWA TOKA NECTA WATAREKIEBISHA
 
Wakuu Kwa Sisi tunaofatilia huu uzi kila Dakika huwa tunafaidika Na Mengi Kupitia uzi huu! Kwahiyo kila Munapoona Tatizo Katika Kujaza Fomu / Kuapply basi Musisite Kutupa Update ili tukianza Kuomba sisi wengine tuwe tumeshapata ujanja.
 
Kuna tatizo kwenye length of transaction ID ambayo unapewa na VODACOM baada ya kulipa shilingi elfu 30 kwa MPESA.
Kwa sasa wanatoa ID's zenye tarakimu na namba KUMI (ten figures) mfano 3FQ43PS8R8 wakati wao bodi ya mikopo wanataka ID's zenye figures/characters TISA tu (kama zile za zamani) mfano BC15YC443.
Kwaiyo ukiingiza transaction ID wanakuambia umekosea kwa sababu imezidi NAFASI TISA (exceeded 9 characters). Hilo ndilo nimeliona mimi, na wengine tunaweza tukashea mengine hapa. Hivi nafanya mpango niwapigie.

Nimtakie kila muombaji kila la heri.
Shida sio idadi ya namba katika ile ID wanayokupa vodacom.
Mifumo inabadilika, mwaka huu zinatumika tarakimu 10 hata kwangu ipo hivyo.... Na imekubali kuendelea na stages nyingine..

Labda shida ipo kwanye o na 0 watu wanachanganya herufi na namba

Nawakilisha.
 
Tatizo lingine hawa jamaa sehem nyinginey
saiz yaan ni complicated kweli km kwenye ku-upload photo.
Kuna vidimension wameviweka vilaleta shida kuvifikia.
Ukitaka kufanya mwenyew labda kwa kutumia camera ya simu yako yaan haiwezekani, imeshapita saa zima sasa nahangaika na kuupload hizo photo.
 
Shida sio idadi ya namba katika ile ID wanayokupa vodacom.
Mifumo inabadilika, mwaka huu zinatumika tarakimu 10 hata kwangu ipo hivyo.... Na imekubali kuendelea na stages nyingine..

Labda shida ipo kwanye o na 0 watu wanachanganya herufi na namba

Nawakilisha.
Kumbuka kazima usubiri kwa mda wa masaa 2
 
Back
Top Bottom