HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

we six umemaliza mwaka gani?
koz wakuu wanasema hapo kwenye post form inakataa kwa waliomaliza 2016?
na je wamelishuhulikia suala hlo la post form four?
Mbona zinatoka tu kwani unafikiri form six 2016 hawajatoa form? ni ujanja wako tu , tatizo internet cafe nyingine unakuta wale wafanyakazi ni vimeo naomba umpgie huyu akuelekeze anavyoipata , maana
we six umemaliza mwaka gani?
koz wakuu wanasema hapo kwenye post form inakataa kwa waliomaliza 2016?
na je wamelishuhulikia suala hlo la post form four?

Hata form six wa 2016 zinatoka ni utaalamu wa mtu husika, kuna mkaka anazitoa mpigie simu akuelekeze anazitoaje 0769248276
 
Mwenyewe nimeshangaa.......kwenye viambatanisho kuna cheti cha matokeo ya 4m 6........so ni mpaka matokeo yatoke ndo form zinatumwa....!!!!!!!?????? au inaakaaje hii......!!!!

Mkuu, hivi ni kweli haiwezekani kutuma hizi form za mkopo baada ya kuprint na kujaza kila kitu mpaka iambatanishwe na matokeo ya Form Six?

Ni kweli? Mbona kwenye Guidebook sijaona palipoandikwa?
 
Mwenyewe nimeshangaa.......kwenye viambatanisho kuna cheti cha matokeo ya 4m 6........so ni mpaka matokeo yatoke ndo form zinatumwa....!!!!!!!?????? au inaakaaje hii......!!!!
 
Wakuu Naomba Kujuilishwa Kidogo!! Katika Form ya Mkopo ukishaprint muna Kipengele hichi "UTHIBITISHO WA TAARIFA BINAFSI NA KAMISHNA WA VIAPO (CERTIFICATION BY COMMISIONER OF OATHS)"

Sasa Kipengele Hichi Anajaza Nani?? Coz Naona Kuna Sehemu ya "Ushuhuda Wa Wakili/Hakimu" sehemu Nyengine mbali.

Wakuu Musichoke Kutujibu sisi ni Wageni wa Mikopo.
 
Hapo nenda mahakamanii mkuu ukagonge muhuri
 
Bodi ya mikopo Tanzania (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi rasmi ya mikopo kwa kutoa Guidelines kwa mwaka 2016/2017 hivyo wananchi wote mnaombwa kusoma kwa makini masharti kabla ya kufanya application mwisho wa ku apply ni 31st July tembelea www.heslb.go.tz for more information
Dah Nina ndugu yangu toka 2009 anaumwa tu mwaka jana ndio kapona NA ana miaka 32 PCB div ii ..INA maana bodi huyu MTU ndio wamemtosa? Alikuwa NA mpango wa kusoma MD mwaka huu.
 
Huyo anapewa grant na sio mkopo kabisa ila akubari kufanya kazi Tz ndani ya miaka 3 mkuu
 
Dah Nina ndugu yangu toka 2009 anaumwa tu mwaka jana ndio kapona NA ana miaka 32 PCB div ii ..INA maana bodi huyu MTU ndio wamemtosa? Alikuwa NA mpango wa kusoma MD mwaka huu.
Haijalishi ila anayeomba yeyote yule ni lazima awe below 30 years ni moja ya sifa!
 
Jaman bodi ya mikopo vp mbona haifunguki kuna tatzo gani?
 
Back
Top Bottom