HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

*ingiza 1 kwa nambaya kumbukumbu.
* ingiza acc no. Ambayo ni namba yako ya 4m4 katik mtindo huu mf. S0641.0001.1992,
Nb. Weka nukta kama hapo ili jumla upate digit 15
naomba nikuulize kidogo mtu aliemaliza diploma kwenye kipengere cha applicant category anachagua post au under.?samahani kwa usumbufu mkuu
 
Hivi hawa loan board form zao unaprint na rangi au kawaida...!?
Mbona hawaweki mambo wazi hawa
 
Back
Top Bottom