Mlikua hamjui kuwa Kikwete alikuwa anatumia muda wote kwenda Marekani na Ulaya kuomba, angejuaje matatizo ya bodi ya mkopo?
Ndio mie nilitaka akae kimya maana si mara ya kwanza kusema kwamba analishughulikia jambo hili. Sasa kama nyimbo zina mashairi yale yale yaliyozoeleka wakati anauita wimbo mya si bora akae kimya?Lazima awaeleze wanafunzi na wadau na watanzania ni nini anachokifanya kwenye kero kama hiyo. Ulitaka akae kimya?
Anajua taarabu na mchezo wa kitandani mengine yote mtajua wenyewe, kilaza saana huyu jamaa ndio maana nanua madegree kwa sifa za kijinga ole wao wabunge wamguse vicky bungeni segerea ya kwao wamuulize liyumba hizo ndio kazi zake kuu
kama hajui umaskini wa nchi yake umetokana na nini atajuaje matatizo yanayozikabili sekta muhimu nchini?
Huku ndiko tulikotoka...
Kweli kuna watu wanaamini kuwa kilichopotea ni hizo milioni 91 tu na kuwa mhusika ni huyo mtu mmoja? Really? Tuliwaandikia haya miaka mitano iliyopita!!!!
Aksante sana Mwanakijiji kwa kutuhabarisha kwa data zinazojieleza. Ama kweli nchi hii ndiyo maana imefananishwa na shamba la bibi. Kwa staili na mwenedno huu, tunawezaje kuiendeleza nchi yetu!! Ee Mungu waangamize wote wanaowatesa wana wako kwa ufisadi wa aina hii.