HESLB Wanavyotafuna Mikopo na Uchunguzi wa Bodi 2011

HESLB Wanavyotafuna Mikopo na Uchunguzi wa Bodi 2011

Lazima awaeleze wanafunzi na wadau na watanzania ni nini anachokifanya kwenye kero kama hiyo. Ulitaka akae kimya?

Mimi ningetaka akae kimya....utendaji sio kuongea ni vitendo...alitakiwa kuwawajibisha wale wote waliosababisha matatizo na sio kuunda kamati amabayo ni upotevu wa pesa...wewe kero kwako ni watu kupata elimu au mikopo kuwa ya taabu?
 
Lazima awaeleze wanafunzi na wadau na watanzania ni nini anachokifanya kwenye kero kama hiyo. Ulitaka akae kimya?

Mimi ningetaka akae kimya....utendaji sio kuongea ni vitendo...alitakiwa kuwawajibisha wale wote waliosababisha matatizo na sio kuunda kamati amabayo ni upotevu wa pesa...wewe kero kwako ni watu kukosa elimu au mikopo kuwa ya taabu?
 
Jana si umemsikia mwenyewe akisema kuwa huwa ana kiherehere?
Si aliwahi kusema hajui umaskini wa nchi hii unasababishwa na nini?
Atajuaje matatizo ya mikopo wakati muda mwingi aliutumia nje ya nchi?
Angalia hiyo attachment uone kama kweli angeweza kujua matatizo si ya mikopo tu bali ya TZ nzima!
 

Attachments

  • kilichomkwamisha new york president-jakaya-kikwete.jpg
    kilichomkwamisha new york president-jakaya-kikwete.jpg
    29.1 KB · Views: 77
Jana si umemsikia mwenyewe akisema kuwa huwa ana kiherehere?
Si aliwahi kusema hajui umaskini wa nchi hii unasababishwa na nini?
Atajuaje matatizo ya mikopo wakati muda mwingi aliutumia nje ya nchi?
Angalia hiyo attachment uone kama kweli angeweza kujua matatizo ya si ya mikopo au ya TZ nzima?

With his most likely counterpart.......very serious kwenye mambo haya

jk+akicheza.jpg
 
Dar Es Salaam, hivi wewe mpaka uipo hapo niambie umewahi kusikia/kuona repoti ya tume yeyote iliyoundwa kushughulikia matatizo nchi imewekwa hadharani? Kama zipo hazizidi tano toka uhuru!!!! Najua hata hiyo ikiundwa ripoti haitaonekana, tutaishia kuambiwa tumeelewa matatizo yao na tunashughulikia!!!

Ni aibu kuona prezidaa amegutuka jana kuhusu matatizo ya bodi ya mikopo!!! If i recal well yamewekwa saaaaan humu nakwenye media!! Ina maana alikuwa haoni wala hasikii...

Wanaotegema jipy akwa JK, wameula wa chuya, kwa kifupi hana jipya ni muendelezo tu!!!
 
au ndiyo anatekeleza sera ya kuongeza ajira kwa watanzania? majumbe wa kamati si wataingizwa kwenye database ya ajira zilizoanzishwa na rais kama alivyoahidi kwenye kampeni zake?
 
Lazima awaeleze wanafunzi na wadau na watanzania ni nini anachokifanya kwenye kero kama hiyo. Ulitaka akae kimya?

Wewe kweli hamna kitu humo kichwani mwako!!!!!! huu sio muda wa kufafanua mambo... ni muda wa utekelezaji!! kwanza kwa kuingilia kitengo alichomteua mtu JUZI JUZI tu, utaona kuwa HANA UHAKIKA NA ALIOWATEUWA. Rais KILAZA dunia MUZIMA.

Bora akae kimya labda ndo tutamtambua kuwa ni Mwenyekiti wa CCM.

Oooh by the way nimekuon umetoa "THANKS YA PILI" hebu naomba unionyeshe hizo post ulizozi"THANKS" tafadhali. Maana nitaanguka na kciheko kutokana na UELEWA WAKO NILIVYOUONA FINYU.
 
Huyu jamaa anaweweseka kweli, hebu aende kwa wasomi UDSM kama ataingia kwenye ile nchi ya wasomi,mara ngapi wanafunzi wamegoma kuelezea hali halisi ya bodi ya mikopo lakini hakuwa msikivu leo anakumbuka shuka wakati kumekucha?
 
Is simply a delay tactic; What else can one say in Tz. Promise better tomorrow, Tomorrow never reach.
 
Lazima awaeleze wanafunzi na wadau na watanzania ni nini anachokifanya kwenye kero kama hiyo. Ulitaka akae kimya?


Hatuhitaji maneneomaneno, TUNATAKA VITENDO, Wewe unaonaje angaefanya tu bila kuongea na sisi tukaona ufanisi wake?
Je ni kweli tunahitaji tume kwa hili? Tume ngapi zisha undwa mpaka leo?
 
Hata jana akiwa UDOM alisomewa risala ambayo hakuisikiliza (alikuwa anapiga story na jamaa aliekaa karibu nae), na sijui kama ataisoma.
 
Huyu jamaa anaweweseka kweli, hebu aende kwa wasomi UDSM kama ataingia kwenye ile nchi ya wasomi,mara ngapi wanafunzi wamegoma kuelezea hali halisi ya bodi ya mikopo lakini hakuwa msikivu leo anakumbuka shuka wakati kumekucha?

Unajua kutokujua kwake mambo kumenifanya nijiulize kama wapambe wake humsimulia taarifa za humu JF. Inaonekana hayuko in touch na kila jambo isipokuwa linalotangazwa kwenye TV kwani kila mara husimulia mambo aliyoyaona kwenye Tv. Lakini huyasimulia kama funny stories wakati ni matatizo ya nchi na wananchi.
 
Hatuhitaji maneneomaneno, TUNATAKA VITENDO, Wewe unaonaje angaefanya tu bila kuongea na sisi tukaona ufanisi wake?
Je ni kweli tunahitaji tume kwa hili? Tume ngapi zisha undwa mpaka leo?

Sasa? rais akitatua matatizo ya mikopo ya elimu ya juu, kazi ya waziri husika ni nini? mkurugenzi wa elimu ya juu wizarani je? katibu mkuu wa wizara je? mkurugenzi wa bodi ya mikopo je? mwenyekiti wa bodi ya mikopo je?

ndiyo maana hotuba zake zote anaongea katika hiyo level badala ya kuongelea, kufafanua na kutetea sera. anaongelea madaraja, madarasa, n.k mambo ambayo ni ya watendaji walio mbali sana chini yake. amewaajiri kwa kazi gani?
 
yaani smt nashindwa elewa thinking ability,level and ways za JK,ivi mtu unaetegemwa na jamii utasemaje hadharani hujui matatizo ya watuwako,huyuhuyu alisema hajui umaskin wetu unatokana na nn,ss kama angekua mstaarabusi angestep down awaachie watakaoweza jua na kutusaidia...jamani JK unazidi nifanye nkuchukie....yaani porojooooo zimekujaaaaaa,unakuwa kama dalali maana kama hawana dili they will tell u any shit:angry:
 
Mnamuongelea Kikwete au Dr. Kikwete ambae UDOM inataka mpa Prof. Dr. Kikwete?
 
Angejulia wapi yeye zake si misele tuu!! hata kama amejua anaweza asilifanyie kazi si mnamjua presidaa kwa kupenda sifa?





"For the poor people like us Education Should be the main tool of Liberation"
 
Hivi, is there a piece of analysis on Loan Board Challenges ambayo anybody anayo ili tu refresh kuhusu haya mambo. labda pia itawasaidia hao kamati watakaopewa hili jukumu
 
Back
Top Bottom