MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Poleni sana vijana wetu, hii serikali ya wanyonge,tutafika tuu msikate tamaa. Kinauchonipa shida sana ni pale kuona vijana walikua busy na application za mikopo kwa kubangaiza iliwafanikiwe lakini hata majina yasionekane. Maskini wengine walikopa, wengine waliomba lakini mwisho wa siku holaa.
Hii sio haki, vijana hawa wana hatia gani sasa? Pesa zenyewe mkopo bado mnawanyima kweli? Keki yetu ya taifa na pesa za walipa kodi wanakopa wachache? Can u imagine watu zaidi ya laki 1 wanaomba lakini elfu 30000 tu ndio wanaopata.
HESLB rudishieni vijana wa watu Pesa zao,rudishieni maskini pesa zao.