HESLB rudishieni pesa za watu!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Poleni sana vijana wetu, hii serikali ya wanyonge,tutafika tuu msikate tamaa. Kinauchonipa shida sana ni pale kuona vijana walikua busy na application za mikopo kwa kubangaiza iliwafanikiwe lakini hata majina yasionekane. Maskini wengine walikopa, wengine waliomba lakini mwisho wa siku holaa.

Hii sio haki, vijana hawa wana hatia gani sasa? Pesa zenyewe mkopo bado mnawanyima kweli? Keki yetu ya taifa na pesa za walipa kodi wanakopa wachache? Can u imagine watu zaidi ya laki 1 wanaomba lakini elfu 30000 tu ndio wanaopata.

HESLB rudishieni vijana wa watu Pesa zao,rudishieni maskini pesa zao.
 
mkuu nimechangia hii mada nliandika sana nashangaa post yangu imefutika kimaajabu sijui imekuaje.
 
Poleni sana wadogo zetu!

Kwasasa ukipata mfadhili akasema anakupeleka shule za private kataa kwasababu utakuja kuumia mbele
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi nililipa hela yangu wakala system ikashindwa kurespond nkalipa mara ya pili dogo kakosa mkopo. Wacha tujichange akasome. Nnachomshukuru Mungu ukoo ulikuwa na wakereketwa wengi wa chama tawala ila kitendo hiki kimebadili upepo ghafla.
 
Ni kweli kwa miaka yetu ilikuwa haiangalii hilo!

Ila tangu mwaka jana ni nadra sana kupata mkopo kama uligusa private!
Kweli kabisa sijui wanatumia kigezo gani kujua kwamba aliyesoma private ana pesa na aliuesoma serikali ni masikini.
Mimi ni mhanga wa kukosa loan mwaka jana kisa advanve nimesoma private
Hata kama ukipeleka uthibitisho kuwa ulikuwa unadhaminiwa ni kupoteza muda tu.
 
Najaribu kuwaambia hao hapo juu naona wananiona mwongo!
Kuna wadogo zangu mwaka Jana walirudi nyumbani kisa hilo hilo tatizo!
afadhali Wewe muhanga wa hiyo ishu umekuja........
kisu cha ngariba
 
2015/2016 Serikali ilitoa mikopo yenye thamani ya 459 billions kwa wanafunzi 122,000. Iweje baada ya kubana matumizi kupunguza wenye vyeti fake mikopo hiyo 2017/2018 ipungue hadi 147 billions tu!? Si tuliambiwa uchumi unakua na kuna pesa nyingi sana, sasa hizo pesa ziko wapi!? Au ndiyo zimechotwa zikajenge chato!?

Mimi nililipa hela yangu wakala system ikashindwa kurespond nkalipa mara ya pili dogo kakosa mkopo. Wacha tujichange akasome. Nnachomshukuru Mungu ukoo ulikuwa na wakereketwa wengi wa chama tawala ila kitendo hiki kimebadili upepo ghafla.
 
Mimi ni mhanga wa kukosa mkopo mwaka jana... Nimepiga kwata za wizarani hadi bodi...nimetinga ofisi zote za bodi... Nimeonana karibia na wafanyakazi wengi pale bodi....!! Mtu wa kulaumiwa no moja ni jpm namba mbili ni ndarichako jamani serikali haina ubunifu wa kupata pesa....kutegemea pesa ya wizara ambayo utekelezaji wake ni 34% ni maajabu.. Bodi iko clear na unaambiwa kabisa vigezo unavyo ila pesa hakuna...!!
Kipindi cha jk bodi ilikuwa haitegemei pesa za wizara tu walikuwa na wadhamini pamoja na wafadhili ...!!
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV Naibu Waziri wa Elimu Ndg Ole Nasha alikuwa bodi ya mikopo ya wanafunzi,nashangaa wanaongelea rufaa kwa waliokosa mkopo iwe tayari kabla ya Novemba 30 wakati hata bach ya 3 na zingine bado kiasi cha wanafunzi 9000 walobaki, na kwenye dashboard ya bodi wanasema batches zingine ni baada wanafunzi kuwa tayari wameandikishwa vyuoni.
 
watatuua walahi dah bongo bahati mbaya
 
Vp ulifanikiwa kupata?
 
Back
Top Bottom