
- Joined
- Sep 8, 2017
- Messages
- 877
- Likes
- 673
- Points
- 180

ngebo
JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017



Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV Naibu Waziri wa Elimu Ndg Ole Nasha alikuwa bodi ya mikopo ya wanafunzi,nashangaa wanaongelea rufaa kwa waliokosa mkopo iwe tayari kabla ya Novemba 30 wakati hata bach ya 3 na zingine bado kiasi cha wanafunzi 9000 walobaki, na kwenye dashboard ya bodi wanasema batches zingine ni baada wanafunzi kuwa tayari wameandikishwa vyuoni.