HESLB mmefanya kazi nzuri sana

HESLB mmefanya kazi nzuri sana

Sasa kwenye watoto 80,000 walio apply wamepata 20,000 na we unaamini zoezi limefanyika efficiently? Unataka kuniambia hao 60,000 wote ni wenye uwezo ndo mana unaipongeza board? Mkuu jaribu kufanya research kwa vijana 1st year wa faculty za arts na business ndo utaelewa kwamba wengi wameachwa solemba, as if course zao hazistahili kuwepo vyuoni.
 
Watu wanadhan gharama za chuo ni sawa na za secondary!!! Kule ni pagumu especially ktk accommodation, kwa hiyo kuyamudu hayo na wakati mwingine mzazi hata km mtumishi anao watoto wengine wanasoma na kimshahara chake chenye makato kibao, after all hiyo ni mikopo watailipa so wapewe tu
 
hiyo ya watumishi wa uma ni kweli, mtu anamkopo ana mshahara na bado kuna fungu halmashauri zilikua zina wapa, walio fanyia la maana kila la kheri ila wale wenzangu wa bata na totoz hiro era isha pita
 
Habari wana jf.

Nawapongeza HESLB kwa kazi nzuri ambayo mmeifanya naamini sasa mikopo hiyo imewafikia walengwa kwa Asilimia 89%

Ifike mahala watanzania tuweke siasa pembeni na tuache kushabikia mambo kwa kufuata mkumbo.. Tusitake Kuona eti idadi kubwa ya watu wamepewa mikopo angali wazazi wao wanauwezo Wa kuwalipia...Mfano kwa uchungu Mkubwa kuna hadi watumishi Wa umma nao miaka ya nyuma walipewa mikopo ambao wana mishahara wanauwezo Wa kujisomesha unakuta ana 80% asilimia halafu mtoto wa masikini ana 60%....lakini watu wanakuja na blah blah et mbona idadi ya watu ambao wamepewa ni ndogo,..ni kweli lazima vigezo na masharti vizingatiwe.. Mmefanya kazi nzuri.

Natokeaga "Busega""....
Ukweli mchungu,hapa kwenye haya mabadiliko lazima watu tutapiga kelele sana kwani kiukweli panauma,ila itafika mahali tutazowea,maisha ya kiujanja ujanja yametugharimu sana,sasa ifikie mahali tuseme basi tufanye mambo kiuhalisia.
 
Tunapokusanya sana mapato tunapodhibiti sana matumizi unapopunguza sana wafanyakazi hewa bila shaka tunaokoa pesa nyingi sana swali mbona huduma zinazorota kila siku badala ya kuboreka kwa mapato yanayoingia matokeo, dawa hospital hakuna tumepunguza idadi ya wanapewa mikopo, biashara zinazorota kila siku why?
Wanaoumia ni wale tyu waliozoea pesa za bure bure..ili uitumikie pesa ni lazima uipate kwa shiidaaaa.....
 
unafiki wa watanzania sijui utaisha lini! unashindwa kufanya utafiti wa kile unachoongea ila kwasababu umepata wewe basi unabaki kuona kilichofanywa ni kizuri!
Mi nilijisomesha mwenyewe kwa mshahara wangu mwenyewe....nashangaa Kuona watu ni watumishi halafu bado wanaomba mkopo halafu manakuja kulalamika uku.....
 
Watu wanadhan gharama za chuo ni sawa na za secondary!!! Kule ni pagumu especially ktk accommodation, kwa hiyo kuyamudu hayo na wakati mwingine mzazi hata km mtumishi anao watoto wengine wanasoma na kimshahara chake chenye makato kibao, after all hiyo ni mikopo watailipa so wapewe tu
Mi niliweza tambua maisha ni kuchagua....
 
Na alichokisema ndalichako hao waliotoa vyeti kwamba ni yatima hawatapatiwa MIKOPO mpaka wa fanye uhakiki mpaka serikali za mitaa na vyeti kukaguliwa Rita sasa kama mtu alidanganya faini
 
Wabongo ni wabinafsi ndio maana Nchi ngumu mtoa mada umeonesha ubinafsi wako wewe ndio baadae usome uwe kiongozi sijui kama atasoma mtu kwa mkopo..
Nitakuwa kiongozi Mkubwa tyu ila si katika taasisi za mikonge....muache kila MTU apambane na maisha yake mwenyewe usimfanye MTU aone maisha mazuri kupitia wewe..
 
hiyo ya watumishi wa uma ni kweli, mtu anamkopo ana mshahara na bado kuna fungu halmashauri zilikua zina wapa, walio fanyia la maana kila la kheri ila wale wenzangu wa bata na totoz hiro era isha pita
Wamepiga sana ma deal hawa jamaa....
 
Sema utaratibu tu ni wahovyo kila mwanafunzi haijalishi hali ya wazazi wake kiuchumi ana stahili mkopo google uone mfumo wa utoaji mikopo kwenye nchi kma za norway,sweden,deenmark,finland na nyinginezo
Unaposema wafanyakazi hawasitahili mikopo sijui una maana gani kwani uliambiwa mshahara wa mfanyakazi ni wakulipa ada,hv hujui sheria za kazi zinasema ni lazima mwajiri amuendeleze mwajiriwa tena ,usione watu wanatoa fedha zao kujosomesha ukadhani ndivyo inavyotakiwa
 
Back
Top Bottom