amygdala
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,082
- 999
mkuu walisema watatoa ya pili? maana mdg angu amekosa yaan kichwa kinauma hapaWametoa batch ya pili mkuu?
mkuu walisema watatoa ya pili? maana mdg angu amekosa yaan kichwa kinauma hapaWametoa batch ya pili mkuu?
Mkuu sina utani na wewe, ila kama huyo mdogo wako ni ke, hebu ni-pm nikupe mawazomkuu walisema watatoa ya pili? maana mdg angu amekosa yaan kichwa kinauma hapa
Kufanya mazuri ni wajibu wao, mabaya wanayatoa wapi? Wala haina haja kuwasifia wakati wanatimiza wajibu waoWabongo siku zote huwa wagumu sana Ku acknowledge pale MTU anapofanya vizur.
akili yako haina akili maana ipo ndani ya boxiiiKufanya mazuri ni wajibu wao, mabaya wanayatoa wapi? Wala haina haja kuwasifia wakati wanatimiza wajibu wao
Afadhali unajijua kuwa akiri yako iko ndani ya boxakili yako haina akili maana ipo ndani ya boxiii
dah mkuu jarib kuwa serious kdgMkuu sina utani na wewe, ila kama huyo mdogo wako ni ke, hebu ni-pm nikupe mawazo
Habari wana jf.
Nawapongeza HESLB kwa kazi nzuri ambayo mmeifanya naamini sasa mikopo hiyo imewafikia walengwa kwa Asilimia 89%
Ifike mahala watanzania tuweke siasa pembeni na tuache kushabikia mambo kwa kufuata mkumbo.. Tusitake Kuona eti idadi kubwa ya watu wamepewa mikopo angali wazazi wao wanauwezo Wa kuwalipia...Mfano kwa uchungu Mkubwa kuna hadi watumishi Wa umma nao miaka ya nyuma walipewa mikopo ambao wana mishahara wanauwezo Wa kujisomesha unakuta ana 80% asilimia halafu mtoto wa masikini ana 60%....lakini watu wanakuja na blah blah et mbona idadi ya watu ambao wamepewa ni ndogo,..ni kweli lazima vigezo na masharti vizingatiwe.. Mmefanya kazi nzuri.
Natokeaga "Busega""....
Andika vizuri,unaandika kaka mtoto Wa darasa la pili Wa shule ya msingi lalambe...Mkuu hv mzee wako kakusomesha anafanya kazi gani??? Mbona umeongea Pu.MBA hv mishahara ya watumishi wa UMMA unailewa Kweli Ww Mfano mzee wangu Mwl wa Primary ana watoto 6 Afu tumefatana km ngazi jumlisha na mtoto wa Aunt tunakaa nae mama housewife nyumba kwa mtumishi wa UMMA hajengi bila mkopo matokeo yake mwisho wa Mwez take home laki2.7 unaenda Chuo CuHAS direct cost+ school fee 2mil Afu cjui unaongea nn masikini weeh ule ni mkopo sio hisani tutarudusha MKUU!!!
Km huwezi kusoma umelazimishwa na nani kucomment usichoelewa MKUU!!!Andika vizuri,unaandika kaka mtoto Wa darasa la pili Wa shule ya msingi lalambe...
Mtoto wa Masikini ndio yupi huyo?Huenda unafurahia kwa sababu umepata au nduguyo kapata lakini tambua kuwa kuna asilimia kubwa sana ya watoto wa Maskini hawajapata mkopo.
Nikueleze tu ukweli,wanaotokea Diploma wengi hata watoto wa Kimaskini hawajapata mkopo.
Usijiaminishe sana kwa unachokisema.
Mtoto wa Masikini ndio yupi huyo?
Na wapi HESLB imesema ni LAZIMA kumkopesha huyo mtoto wa masikini?
Kwahiyo walio soma Shule za Serikali ni watoto wa Masikini?Yasemekana kwamba Mtoto wa Maskini ni Yule ambaye amesoma shule za serikali katika level zake zote za elimu hashasa O-Level pamoja na A-Level .
Mtoa mada naona alisahau kuwashukuru HESLB kwa kufuata vigezo walivyovitoa hapo awali kabla ya kuyapitia upya maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Kwa mfano wanufaikaji waa course kipaumbele ni wale wanaotambulika kuwa ni maskini .
kama wengi wao walisom private kwanini usiamini... na sekondary siku hizi nyingi ada zake zina anzia kwa kiwango cha laki 9... ambayo ni ada pia kwa baadhi ya vyuo....Sasa kwenye watoto 80,000 walio apply wamepata 20,000 na we unaamini zoezi limefanyika efficiently? Unataka kuniambia hao 60,000 wote ni wenye uwezo ndo mana unaipongeza board? Mkuu jaribu kufanya research kwa vijana 1st year wa faculty za arts na business ndo utaelewa kwamba wengi wameachwa solemba, as if course zao hazistahili kuwepo vyuoni.
paNGA MIKAKATI NA WAZEE WENU WAWASOMESHE VIZURI... WASISOMESHE NDG. WAKASHINDWA SOMESHA WATOTO WAO... SISI TULISOMA WAWILI CHUO NA TULISOMESHWA BILA BOOM NA WENGINE WAWILI WALIKUWA SECONDARY MMOJA NURSING... KAMA MZAZI ANATEGEMEWA NA UKOO ALAFU ANAKOPA PESA ANA ONESHA UKOO WAO YEYE NDIE TAJIRI BILA KUWA NA MALENGO BILA KUBUNI NJIA ZA KUONGEZA KIPATO... TUTAPGA YOWE SANA MZEEEWatu wanadhan gharama za chuo ni sawa na za secondary!!! Kule ni pagumu especially ktk accommodation, kwa hiyo kuyamudu hayo na wakati mwingine mzazi hata km mtumishi anao watoto wengine wanasoma na kimshahara chake chenye makato kibao, after all hiyo ni mikopo watailipa so wapewe tu