HESLB mmefanya kazi nzuri sana

HESLB mmefanya kazi nzuri sana

Wakuacha

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
2,046
Reaction score
1,340
Habari wana jf.

Nawapongeza HESLB kwa kazi nzuri ambayo mmeifanya naamini sasa mikopo hiyo imewafikia walengwa kwa Asilimia 89%

Ifike mahala watanzania tuweke siasa pembeni na tuache kushabikia mambo kwa kufuata mkumbo.. Tusitake Kuona eti idadi kubwa ya watu wamepewa mikopo angali wazazi wao wanauwezo Wa kuwalipia...Mfano kwa uchungu Mkubwa kuna hadi watumishi Wa umma nao miaka ya nyuma walipewa mikopo ambao wana mishahara wanauwezo Wa kujisomesha unakuta ana 80% asilimia halafu mtoto wa masikini ana 60%....lakini watu wanakuja na blah blah et mbona idadi ya watu ambao wamepewa ni ndogo,..ni kweli lazima vigezo na masharti vizingatiwe.. Mmefanya kazi nzuri.

Natokeaga "Busega""....
 
Huenda unafurahia kwa sababu umepata au nduguyo kapata lakini tambua kuwa kuna asilimia kubwa sana ya watoto wa Maskini hawajapata mkopo.

Nikueleze tu ukweli,wanaotokea Diploma wengi hata watoto wa Kimaskini hawajapata mkopo.
Usijiaminishe sana kwa unachokisema.
 
Huenda unafurahia kwa sababu umepata au nduguyo kapata lakini tambua kuwa kuna asilimia kubwa sana ya watoto wa Maskini hawajapata mkopo.

Nikueleze tu ukweli,wanaotokea Diploma wengi hata watoto wa Kimaskini hawajapata mkopo.
Usijiaminishe sana kwa unachokisema.
Pamoja na hayo Mkuu.....pia kuna watu wenye sifa za kutokupewa mkopo lakini wanapiga nao blah blah
 
Tunapokusanya sana mapato tunapodhibiti sana matumizi unapopunguza sana wafanyakazi hewa bila shaka tunaokoa pesa nyingi sana swali mbona huduma zinazorota kila siku badala ya kuboreka kwa mapato yanayoingia matokeo, dawa hospital hakuna tumepunguza idadi ya wanapewa mikopo, biashara zinazorota kila siku why?
 
kijiji gani? Lamadi, Nyamikoma, Kabita, Nyakabhoja, Nyashimo, Nassa Ginery, Mwamanyili, Masanza, BUsami, badugu, Shigala..... etc?
 
[QUOTE="

Natokeaga "Busega""....


kijiji gani? Lamadi, Nyamikoma, Kabita, Nyakabhoja, Nyashimo, Nassa Ginery, Mwamanyili, Masanza, BUsami, badugu, Shigala..... etc?[/QUOTE]
Nyahanga Mkuu.....
 
Back
Top Bottom