HESLB mmefanya kazi nzuri sana

HESLB mmefanya kazi nzuri sana

Sera za elimu mojawapo mtoto kupata elimu ni lazima na wajibu wa serikali kumsomesha, ila sera mpya mtoto anayetaka kusoma chuo ni zawadi baada ya kufaulu na mkopo sio lazima wanapewa wateuliwa tuu wengine mtajijua wenyewe, huko ndiko tunakoelekea sio...??
 
Hv ww mtoa mada naomba nikuulize ni asilimia ngapi ya wanafunzi wanaweza kujilipia???? Chukulia kuwa zaidi ya 90% ya watanzania wanaishi chini ya dolla 1
 
Mi nilijisomesha mwenyewe kwa mshahara wangu mwenyewe....nashangaa Kuona watu ni watumishi halafu bado wanaomba mkopo halafu manakuja kulalamika uku.....
hivi angalia hiyo idadi ya waliokosa! unaamini hao wote ni inservice?
siungi mkono hao waliokuwa waajiriwa kusomeshwa?

Ukiwa somewhere unapost huwezi ona tatizo nenda chuo chochote kilichokaribu fanya utafiti kidogo!
 
Habari wana jf.

Nawapongeza HESLB kwa kazi nzuri ambayo mmeifanya naamini sasa mikopo hiyo imewafikia walengwa kwa Asilimia 89%

Ifike mahala watanzania tuweke siasa pembeni na tuache kushabikia mambo kwa kufuata mkumbo.. Tusitake Kuona eti idadi kubwa ya watu wamepewa mikopo angali wazazi wao wanauwezo Wa kuwalipia...Mfano kwa uchungu Mkubwa kuna hadi watumishi Wa umma nao miaka ya nyuma walipewa mikopo ambao wana mishahara wanauwezo Wa kujisomesha unakuta ana 80% asilimia halafu mtoto wa masikini ana 60%....lakini watu wanakuja na blah blah et mbona idadi ya watu ambao wamepewa ni ndogo,..ni kweli lazima vigezo na masharti vizingatiwe.. Mmefanya kazi nzuri.

Natokeaga "Busega""....
Kweli alirshiba hamkumbuki mwenye njaa

na hili nilakuwasifia?? Ukaguzi w hili keanza unafanyika na wametoa siku 30. Mtu kujaza taarifa zake sahihi wakati yuko chuoni mtoto wa masikini hujiulizi mpaka wathibitike ni masikini na hawajafanyiwa usajiri itakuajr??
kuna mengi sana serikali ilihitaji busara,

awamu ya kwanza ya mikopo ishatoka na majina ya watoto wa vigogo yalijiyokeza lakini kuna utitiri wa maskini hawajapata lakini vyuo vimeshafunguliwa na udahili unaendelea. Huyu mtoto wa maskini ataweza kuhimili kujitunza bila mkopo kwa kipindi hiki?? Ifikie hatua watanzania tuache unafiki
 
Sema utaratibu tu ni wahovyo kila mwanafunzi haijalishi hali ya wazazi wake kiuchumi ana stahili mkopo google uone mfumo wa utoaji mikopo kwenye nchi kma za norway,sweden,deenmark,finland na nyinginezo
Unaposema wafanyakazi hawasitahili mikopo sijui una maana gani kwani uliambiwa mshahara wa mfanyakazi ni wakulipa ada,hv hujui sheria za kazi zinasema ni lazima mwajiri amuendeleze mwajiriwa tena ,usione watu wanatoa fedha zao kujosomesha ukadhani ndivyo inavyotakiwa
Sheria inasema hivyo lakini ni pale unapoenda kusoma kitu ambacho kina manufaa katika kazi uliopo.......Ndo maana kuna kozi hupewa kipaumbele....
 
hivi angalia hiyo idadi ya waliokosa! unaamini hao wote ni inservice?
siungi mkono hao waliokuwa waajiriwa kusomeshwa?

Ukiwa somewhere unapost huwezi ona tatizo nenda chuo chochote kilichokaribu fanya utafiti kidogo!
Mikopo yenyewe wananunulia TV na kunywa pombe tyuu...
 
hiyo ya watumishi wa uma ni kweli, mtu anamkopo ana mshahara na bado kuna fungu halmashauri zilikua zina wapa, walio fanyia la maana kila la kheri ila wale wenzangu wa bata na totoz hiro era isha pita
Kwanzi mshahara wa mtumishi sio kwa ajili ya kumuendeleza kimasomo.huwa ni jukumu la mwajiri kumsomesha mtumishi kutokana na serikali kukosa fedha hvyo watumishi wa serikali wengi walikuwa wana apply mikopo bodi ya mikopo
Pili sio kweli watumishi wanatengewa mafungu ktk sehemu zao za kazi na bado walikuwa wana omba mikopo labda kipindi cha mkapa toka kipindi cha kikwete miaka 5 iliyopita hali za kifedha zilikuwa mbaya kwenye taasisi zote za serikali mpaka sa hivi ofisi inakuta haina hata wino wala karatasi alafu ww unasema watu walikuwa wanasomeshwa!!!!!!!
Mkuu usiwe unaongea vitu usivyo na uhakika navyo kabisa tena usitudie.kwa miaka yota 6 budget za gharama za masomo zilikuwa zinakatwa moja kwa moja
 
Sheria inasema hivyo lakini ni pale unapoenda kusoma kitu ambacho kina manufaa katika kazi uliopo.......Ndo maana kuna kozi hupewa kipaumbele....
Mkuu kama unajua sheria inasema hivyo sasa kwa nini mwanzo unawatuhumu hao watumishi wa umma
Pili kama mtu ameajiriwa ni dhahiri kuwa anachokifanya kina manufaa ndio maana kaajiriwa.tena watumishi wengi ambao walikuwa wanaomba mikopo bodi ni waliimu,madaktari na manesi
 
Baada ya kukamilisha zoezi la Uchambuzi wa maombi ya Mikopo 88,163 yaliyopokelewa hadi kufikia tarehe 11 Agosti, 2016. Jumla ya Wanafunzi wapya
20,183 wamepangiwa Mikopo. Upangaji huu umezingatia vigezo vilivyomo katika mwongozo wa utoaji wa mikopo uliopitishwa na Bodi ya wakurgezi na kuidhinishwa na wizaya ya elimu sayannsi na teknoloji. Vigezo hivyo ni pamoja na:
I. Vipaumbele vya kitaifa vinavyoendana na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka mitano, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Mafunzo ambayo yatazalisha wataalamu wanaokidhi mahitaji ya kitaifa katika fani za kipaumbele ambazo ni;
• Fani za Sayansi za Tiba na Afya,
• Ualimu wa Sayansi na Hisabati,
• Uhandisi wa Viwanda, Kilimo, Mifugo, Mafuta na Gesi Asilia,
• Sayansi Asilia, na
• Sayansi za Ardhi, Usanifu Majengo na Miundombinu.
i. Uhitaji wa waombaji hususani wenye mahitaji maalum kama vile ulemavu na uyatima
ii. Uhitaji wa waombaji wanaotoka katika familia zenye hali duni ya kimaisha
o Wadahiliwa yatima waliopata mkopo 873
o Wadahiliwa wenye ulemavu wa viungo
118
o Wadahiliwa wahitaji wenye mzazi mmoja 3,448
o Wadahiliwa wahitaji waliofadhiliwa na taasisis mbali mbali 87
o Wadahiliwa wahitaji wanaosoma kozi za kipaumbele 6,159
o Wadahiliwa wahitaji wanaosoma kozi zingine 9,867
Jumla 20,183
Kiasi cha Fedha zinazohitajika
Bajeti iliyoidhinishwa kwa ajili ya ukopeshaji kwa mwaka wa fedha wa 2016/17 ni shilingi bilioni 483 , kwa ajili ya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wapatao 25,717 , na wanaoendelea na masomo wapatao 93, 295 .
Hatua zinazofuata
I. Wanufaika wote wanaopungukiwa na sifa watachunguzwa kwa ajili ya kurekebishiwa au kuondolewa katika unufaika wa mkopo
II. Waombaji waliwasilisha taarifa zenye upungufu, taarifa zao zitahakikiwa, na wakibainika kuwasilisha taarifa za uongo watachukuiwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kufutiwa mikopo yao
III. Wanufaika wote watatakiwa kuhuisha taarifa kwa kujaza dodoso. Taarifa za ziada za kiuchumi za wazazi au walezi wao zitatumika kutanua uhalisia. Wale watakaokutwa na hadhi zisizo stahili, watapoteza sifa za kuendelea kupata mikopo na kulazimika kurejesha kiasi watakachokuwa wamepokea tayari.
IMETOLEWA NA:
MKURUGENZI MTENDAJI
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
 
Habari wana jf.

Nawapongeza HESLB kwa kazi nzuri ambayo mmeifanya naamini sasa mikopo hiyo imewafikia walengwa kwa Asilimia 89%

Ifike mahala watanzania tuweke siasa pembeni na tuache kushabikia mambo kwa kufuata mkumbo.. Tusitake Kuona eti idadi kubwa ya watu wamepewa mikopo angali wazazi wao wanauwezo Wa kuwalipia...Mfano kwa uchungu Mkubwa kuna hadi watumishi Wa umma nao miaka ya nyuma walipewa mikopo ambao wana mishahara wanauwezo Wa kujisomesha unakuta ana 80% asilimia halafu mtoto wa masikini ana 60%....lakini watu wanakuja na blah blah et mbona idadi ya watu ambao wamepewa ni ndogo,..ni kweli lazima vigezo na masharti vizingatiwe.. Mmefanya kazi nzuri.

Natokeaga "Busega""....
kumbe unatokea busega.........ndo maana akili yako iko hivyo, ni ya ovyo.

unaposema mzazi ana uwezo wa kumsomesha unasahau au hujui kwamba huyo anayekopeshwa ni mtu mzima hahitaji kumtegemea mzazi. ndiyo maana anaingia mkataba wa kulipa mkopo atakapopata kazi, uliona wapi mtoto anaingia mkataba?

basi ingekuwa hivyo serikali ingeingia mkataba na wazazi

ovyo kabisa...akili mbovu kabisa
 
Kwanzi mshahara wa mtumishi sio kwa ajili ya kumuendeleza kimasomo.huwa ni jukumu la mwajiri kumsomesha mtumishi kutokana na serikali kukosa fedha hvyo watumishi wa serikali wengi walikuwa wana apply mikopo bodi ya mikopo
Pili sio kweli watumishi wanatengewa mafungu ktk sehemu zao za kazi na bado walikuwa wana omba mikopo labda kipindi cha mkapa toka kipindi cha kikwete miaka 5 iliyopita hali za kifedha zilikuwa mbaya kwenye taasisi zote za serikali mpaka sa hivi ofisi inakuta haina hata wino wala karatasi alafu ww unasema watu walikuwa wanasomeshwa!!!!!!!
Mkuu usiwe unaongea vitu usivyo na uhakika navyo kabisa tena usitudie.kwa miaka yota 6 budget za gharama za masomo zilikuwa zinakatwa moja kwa moja
naongea nacho kijua we unasema unachofikiri
 
Mkuu kama unajua sheria inasema hivyo sasa kwa nini mwanzo unawatuhumu hao watumishi wa umma
Pili kama mtu ameajiriwa ni dhahiri kuwa anachokifanya kina manufaa ndio maana kaajiriwa.tena watumishi wengi ambao walikuwa wanaomba mikopo bodi ni waliimu,madaktari na manesi
Hawastahili kupewa mkopo et unaenda kusoma UDom.....ada ambayo haifiki hata milioni mbili ni aibu sana.
 
kumbe unatokea busega.........ndo maana akili yako iko hivyo, ni ya ovyo.

unaposema mzazi ana uwezo wa kumsomesha unasahau au hujui kwamba huyo anayekopeshwa ni mtu mzima hahitaji kumtegemea mzazi. ndiyo maana anaingia mkataba wa kulipa mkopo atakapopata kazi, uliona wapi mtoto anaingia mkataba?

basi ingekuwa hivyo serikali ingeingia mkataba na wazazi

ovyo kabisa...akili mbovu kabisa
Dah huenda huo ndo mwisho wako Wa kufikiri.Ebu pungunza njaa kwanza huenda tuakaelewana.
 
Back
Top Bottom