HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Ukiona akaunt yako unalog in aibadiliki kukuletea kipengele Cha sipa na wewe ni mwaka wa kwanza wait for batch 2 tarehe 27 ya kwanza aikuwa bahati yako usife moyo
Je, kuna uwezekano first year mwenye status ya ".... wait for allocation process" ambaye hajabahatika kuwemo kwenye batch ya kwanza akakosa pia kwenye batch ya pili?
 
Duh oya kumbe First year tuliobaki kupangiwa mkopo ni takriban 18,868 out of 75,000 students

Yan maombi ni muhimu tuendelee kuomba sn Mungu maana idadi hyo ni mitego
 
Wapendwa kama Kuna watu mnaoenda TIA, Procurement nichek inbobo plz
 
Je, kuna uwezekano first year mwenye status ya ".... wait for allocation process" ambaye hajabahatika kuwemo kwenye batch ya kwanza akakosa pia kwenye batch ya pili?
Ya upo Tena ni mkubwa 100% waombaji ni wengi pesa chache aijalishi ukukosea kojaza fomu Basi ndo upate mkopo wapo ambao stutas zimewaomba wafanye correction watapata mkopo na wapo ambao fomu zao azina matatizo lakini watakosa mkopo haya mambo ni bahati
 
Sup haina haina uhusiano na Ada wala mkopo wako hata ukidisco mkopo wako unakuwa allocated Ila pale chuoni hauwezi kusaini , so mfano mpaka Muda huu Kuna watu matokeo ya sup hayajatoka ila mkopo wameshapewa yaani allocation tayari namaanisha hao wanaondelea na masomo so Ada haiwezi kupunguzwa labda kuongezewa.
Hvi Kwa continous Kama ulisup ukafany paper wanaweza kupunguza Ada?
 
Sup Hina uhusiano na mkopo , mbona mnalishana matago pori sana yaani wewe Kama unaendelea na masomo bodi huwa wanalocate mkopo wako hata kabla ya hayo matokeo ya sup ila pale chuoni utasaini mkopo wako kutokana na kuwa na vigezo vyao so acheni kuandika kitu hamna uhakika hamjui mfano Udom matokeo ya sup hutoka mwezi wa kwanza so unadhani mwanafunzi anaweza subiri Hadi mwezi wa kwanza hajapewa maokoto.
Hapana, ila watakufanyia allocation baada ya matokeo ya supp kutoka na kupelekwa Heslb
 
Wanazingua....Kuna mtu kashindea kuomba mkopo Kwa kuwa website yao imekuwa too crappy Kwa karibu siku zote...plus watu wa Rita walizingua kwenye kutoa Verification number ...Kuna dogo huenda akashindwa kwenda chuo Kwa kukosa huo.mkopo
Kwetu wazazi iwe funzo tuache kunywa pombe za machicha kwenye vilabu vya Kijiji tufanye kazi
 
Sup Hina uhusiano na mkopo , mbona mnalishana matago pori sana yaani wewe Kama unaendelea na masomo bodi huwa wanalocate mkopo wako hata kabla ya hayo matokeo ya sup ila pale chuoni utasaini mkopo wako kutokana na kuwa na vigezo vyao so acheni kuandika kitu hamna uhakika hamjui mfano Udom matokeo ya sup hutoka mwezi wa kwanza so unadhani mwanafunzi anaweza subiri Hadi mwezi wa kwanza hajapewa maokoto.
Wakiingia kwenye account zao za heslb hakuna allocation.
That's reality, accounts zao (wenye supp) hazina updates kuhusu allocation mpaka matokeo ya sup yatoke
 
Back
Top Bottom