HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

IMG_20231021_074837_1.jpg

Kuna dogo hapa ada 230K alopewa, hapa naona ndugu tutashikana mashati, kuitafuta Milion 2, bodi watu wa hovyo sana.
 
Wengine hii ndo chance ya mwisho kuomba mkopo bodi ya mkopo kwetu sisi tuliomaliza mwaka 2019 kidato cha sita.Kwa kweli mambo yanaumiza sana
Sera znayumba ,ajira nazo shida ,kusoma nako kwa shida bodi ihurumie Taifa la kesho
 
Sera znayumba ,ajira nazo shida ,kusoma nako kwa shida bodi ihurumie Taifa la kesho
Kwa kweli Mungu tu atupe kuyakubali matokeo pale tunapokosa nafasi na kushukuru kwa wale waliopata ingawa inaumiza sana,si kwa nia mbaya hapana lakini wapo wanafunzi ambao wamepata mkopo angali wazazi wa familia hata kuwalipia nusu ada wanao uwezo huo,lkn kuna waliokosa angali hata robo ya ada familia hawana kabisa Mungu nakushukuru maana nina afya sipo hospitali
 
Back
Top Bottom