HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Ukiona akaunt yako unalog in aibadiliki kukuletea kipengele Cha sipa na wewe ni mwaka wa kwanza wait for batch 2 tarehe 27 ya kwanza aikuwa bahati yako usife moyo
I think kuna muendelezo wa updates kwa Waliopata batch one, from today onwards mpk alhamc lbd
 
Mda sana kipind kile hela zillkua znamwagwa Kam njugu full Bata
Sister wangu miaka hyo alipewa 100℅ ya mkopo na tuna vigezo sawa kadogo jinsia, sasa nasubiria nione wataniallocatia kiac gn na mm ili nithibitshe km kweli ni watenda haki ama lah
 
Sister wangu miaka hyo alipewa 100℅ ya mkopo na tuna vigezo sawa kadogo jinsia, sasa nasubiria nione wataniallocatia kiac gn na mm ili nithibitshe km kweli ni watenda haki ama lah
Sera mdogo wangu
 
Back
Top Bottom