fanya ivyo sema MA wamekupa nyingi snSi wana dharau tu hawa wajinga yaani hapa rufaa lazima
fanya ivyo sema MA wamekupa nyingi snSi wana dharau tu hawa wajinga yaani hapa rufaa lazima
Si wana dharau tu hawa wajinga yaani hapa rufaa lazima
Ila kwenye MA wamekupendelea wamekujazia kinomaht km Ila bdo ndogo hp bdo Ada, bdo stationary, bdo nauli duh milioni 3 hyo nakushaur ukate rufaa mkuufanya ivyo sema MA wamekupa nyingi sn
Wamekutumia muda gn
TU maana yake nn
Tuition fee (Ada)TU maana yake nn
Jioni LeoWamekutumia muda gn
Sema na Ada ni kubwa Sasa si MA itaishia kwenye ada tuIla kwenye MA wamekupendelea wamekujazia kinoma
Labda mwaka huu watu wengi wamefaulu plus Diploma na boom kuongezwa kwa hiyo mzigo bajeti itabana .Alafu naona km stationary na makorombwezo baadhi hawatoi, wengi wanaambulia Tuition fee na Meals and Accommodation bc , hii imekaaje?
Hiyo itakuwa ni error MA inakuwa sawa kwa wote .Ila kwenye MA wamekupendelea wamekujazia kinoma
Duh huna tuition fee ila una mshahara mkuu big up
Aisee wew dada wa mliman lazm upitie maokoto ya madogo duuh😅😅Njukazi mkuje kuna maokoto yenu huku yametokaa.
![]()
Kwa continuous halafu tumeappply mara ya kwanza inakuwaje?Ukiona akaunt yako unalog in aibadiliki kukuletea kipengele Cha sipa na wewe ni mwaka wa kwanza wait for batch 2 tarehe 27 ya kwanza aikuwa bahati yako usife moyo
Ndio ila kama sisi wengine mtu unasoma computer science ada tu 2,000,000 kasoro apo mtu unasihije na pesa hiyo jamani 🥲Vigezo muhimu wengine wamepewa 100%
View attachment 2787361
Si ndio hpo sasa, alafu usikute wanatafuta namna ya kupiga hela zetu tu watie mifukoni mwao , aisee rufaa lzm tukateSema na Ada ni kubwa Sasa si MA itaishia kwenye ada tu
KumbeHiyo itakuwa ni error MA inakuwa sawa kwa wote .
Mm computer science St.Joseph Ada ni Mil 2 na 95 mkuu, kipengele haswaNdio ila kama sisi wengine mtu unasoma computer science ada tu 2,000,000 kasoro apo mtu unasihije na pesa hiyo jamani 🥲