HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Wakuu nisaidien kwa hili

najaribu kuappeal hp kuomba niongezew mkopo, Ila tatzo ni kila nikiupload picha yng ambayo niliiscan kwa app ya camscanner hpo awali then nikaiconvert online kuwa jpg kila nikiupload inakataa .
.je shida iko wapi
Ifanyie resize angalau iwe 200kb kushuka chini inakubali fresh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanangu wa continous mzigo ushasoma right now
Screenshot_20231111-204428_Chrome.jpg
 
Appeal window....sijui hio message
Sema mpaka umalize kuappel ndo utaona kama wamekupangia
 
Hivi kama umeenda allocation kuangalia je umepata au lah! Wamekuandikia index no yako not found je ni shida ya mtandao au ni nini?
Ni mtandao tu mkuu. Bado wanaendelea kuweka allocation kwahiyo kuwa na subira tu.
 
Hivi kama umeenda allocation kuangalia je umepata au lah! Wamekuandikia index no yako not found je ni shida ya mtandao au ni nini?
Nilikutana na tatizo kama hili kwa mdogo wangu nikareset password nikakuta amepata mkopo... badilisha hiyo password alaf uingie unaweza kukutana na bahati kama mdogo wangu
 
Back
Top Bottom