Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,770
- 11,227
Yaani wengine hicho kitufe tu cha appeal hakipo na ukisema utumie kile cha kwenye application haki respond chochote.Nani ameweza jmn
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wengine hicho kitufe tu cha appeal hakipo na ukisema utumie kile cha kwenye application haki respond chochote.Nani ameweza jmn
Nadhani unamaanisha kunyimwa mkopo na kutokupangiwa mkopoWadau,kuna tofauti gan kati ya kunyimwa mkopo na kukosa mkopo?

Mm nna hilo tatizoWengi sana kitufe cha appeal hakipo hadi muda huu kwenye SIPA.
Uki click kitufe cha appeal kule kwenye application hakifanyi chochote.
Nadhani hawajaweka server free labda leo wanaweza kurekebisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani unamaanisha kunyimwa mkopo na kutokupangiwa mkopo
Hilo tatizo wanalijua, lakini hawataki kulitatua. Poleni sana vijana hakuna wa kuwasemea. Siku zenyewe mmepewa chache!Yaani wengine hicho kitufe tu cha appeal hakipo na ukisema utumie kile cha kwenye application haki respond chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hio ya kunyimwa inawahusu wanafunzi wanaoendelea chuo ambao walipewa mkopo then awamu hii wamekosa.Wadau,kuna tofauti gan kati ya kunyimwa mkopo na kutopangiwa mk
Kama upo karibu na office zao nakushaur uende watakusaidiaAppeal Application
You Cannot Apply For Loan Appeal Because
Admission Details Not Found
Nimeingia option ya kuappeal kwenye acount ya dogo inaandika hivi while chuo alipata admission na ameshakuwa registered chuoni, shida inaweza kuwa mtandao au sytem ya chuo msaada plz![]()
Basi tenaHilo tatizo wanalijua, lakini hawataki kulitatua. Poleni sana vijana hakuna wa kuwasemea. Siku zenyewe mmepewa chache!

Kama upo karibu na office zao nakushaur uende watakusaidia
Anatakiwa aongee na chuo chake je admission yake ilitumwa TCUAppeal Application
You Cannot Apply For Loan Appeal Because
Admission Details Not Found
Nimeingia option ya kuappeal kwenye acount ya dogo inaandika hivi while chuo alipata admission na ameshakuwa registered chuoni, shida inaweza kuwa mtandao au sytem ya chuo msaada plz![]()
Mkuu umefanikiwa ku download fomu ya appeal?View attachment 2808456
Yap ndio naamaanisha,kuna utofauti gani hapo?
Hapana,sijamaliza bado.Mkuu umefanikiwa ku download fomu ya appeal?
Mimi kila nikijaribu ku download inaniandikia download failed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli kuna haja ya ku download fomu ama ni kuandaa tu barua ya serikali ya mtaa ya utambulisho na muhuri then una upload kama document wanayohitaji.Hapana,sijamaliza bado.
Anatakiwa aongee na chuo chake je admission yake ilitumwa TCU
We nenda hawakatai labda kama TCU walitoa muongozo wa mwisho wa usajiliHivi inawezekana kufanya registration baada ya siku zilizotajwa na chuo husika kuisha?