Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

😂😂
Acha basii, wakati kasema ile iliyo kweli.!!
Nimeona kuna mambo mengne anakuzushia na kukusingizia.sasa mkuu mm siwez kuona unapakaziwa halaf nikae kimya.lazima nikutetee boss
 
Ni vizuri kumsifia na kutambua jitahada za mwanaume awe wako au kaka yako, baba yako, mdogo wako , kuna ushauri huwa nawambiaga wanawake kuwa na tabia nzuri na ya kujenga ya kuwasifia waume zao na hapo utaona mume atakavyojituma zaidi ya pale na pia baraka mtaziona, wewe umejitahidi sana kuona hilo mapema,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hawa wakujituma kwa michepuko kipato kikishaongezeka au unawasema wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carl umeandika vizuri sana, asante pia Kwa kutambua uwepo wa wanaume katika maisha yenu, hasa wale wanaotimiza majukumu yao ipasavyo. Ni kweli tunafanya sacrifice kwa ajili ya watoto na wake zetu.

Umekuwa na mwandiko kama Heaven Sent vile!
Abee brod darling.

Kuwa"mwanaume" comes with lots of responsibilities and sacrifices.

There was this day tulikuwa tunajiongelesha; kwamba watoto wa kike ni asset; hawawezi kusahau kuhudumia nyumbani kwa wazazi wao blah blah blah. But the truth is hawasahau nyumbani; ila wanachojaaliwa inawezekana hakimtoshelezi kila anayewategemea. Imagine being a father to many; a hubby to your wife, a son/brother/uncle/in law etc. Afu wote hao wanakutazama wewe for affection, attention, knowledge,financial security; yaani you are simply a problem solver to everyone; hujadondoka tu kwa presha? Afu unakuta sasa wewe ndo Mengi wa ukoo; all eyes on you na kila mtu anatarajia kupokea msaada kutoka kwako wakati wowote mweee. Hapo bado kazi/biashara inakukimbiza mbio za haja

As carleen said; the pressure from this world can make you commit suicide (God forbid). You are a man; so failure aint an option to you. And once you fail; you haven't just failed yourself; but also everyone depending on you. You are not supposed to give up, nor crying, nor lacking anything nor becoming helpless; coz you are a super hero to many and the answer to their problems.....uuuuuuuuh
Kwa kweli Mungu awabariki tu all responsible men.

Bora umetoka mafichoni sis darling, mwandiko wako unajitosheleza. Asante kwa haya madini plus complement uliyotupa, it's really not easy, mzigo unaweza kuwa mzito sana but when you guys are beside us, gurudumu lazima lisonge.

Failure isn't in our vocabularies. [emoji120] Sis darling.
 
nimejikuta nacheka tu maana post yako nimeipenda sana cjui lakn kwa wengne kama wanaona haya lkn mungu akubaliki sana maana kweli lazma tutimize agano la mungu kula kwa jasho lkn nashukulu kwa kutuona kwa magumu tupitihayo na mungu akubariki sana.
 
Abee brod darling.

Kuwa"mwanaume" comes with lots of responsibilities and sacrifices.

There was this day tulikuwa tunajiongelesha; kwamba watoto wa kike ni asset; hawawezi kusahau kuhudumia nyumbani kwa wazazi wao blah blah blah. But the truth is hawasahau nyumbani; ila wanachojaaliwa inawezekana hakimtoshelezi kila anayewategemea. Imagine being a father to many; a hubby to your wife, a son/brother/uncle/in law etc. Afu wote hao wanakutazama wewe for affection, attention, knowledge,financial security; yaani you are simply a problem solver to everyone; hujadondoka tu kwa presha? Afu unakuta sasa wewe ndo Mengi wa ukoo; all eyes on you na kila mtu anatarajia kupokea msaada kutoka kwako wakati wowote mweee. Hapo bado kazi/biashara inakukimbiza mbio za haja

As carleen said; the pressure from this world can make you commit suicide (God forbid). You are a man; so failure aint an option to you. And once you fail; you haven't just failed yourself; but also everyone depending on you. You are not supposed to give up, nor crying, nor lacking anything nor becoming helpless; coz you are a super hero to many and the answer to their problems.....uuuuuuuuh
Kwa kweli Mungu awabariki tu all responsible men.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ngoja kwanza, hivii Bro Eli79 ndiyo ulikuwa unanifananisha na hili jembe?? She is a very smart lady, hapa me siingii Bro..!!

Miss Heaven, you said it all I am just here out of words..!!
 
Back
Top Bottom