Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Thread murua, tuwe tunahitaji kupongezana mara kwa mara kwa ubora wa kiwango hiki. Hongera wanaume mnaopambana siyo mziki mwepesi kwa kweli.
Juhudi ninazoziona kupitia La'aziz wangu kwa watoto wake wawili aliowapata kabla mimi na yeye hatujakutana maishani ni za hali ya juu mno, ukiachana na familia yetu ndogo sasa.
Nampenda, namheshimu na kujitahidi tufurahie maisha haya ukiachana na majukumu vilevile changamoto za hapa na pale.
You're kind of woman every man would dream to have,
Mungu azidi kukubariki mke mwema, Make your man proud ov you.! Mtie moyo siku zote, you're the reason he is grinding hard for the sky to be his limit..!!
 
Mbona wenzio wengi hawalioni uliloliona wewe?. Unamfanyia mambo mengi,hata kushukuru tu kwa maandishi kama haya achilia mbali moja kwa moja haipo. Nina mtoto wangu ana jina kama lako,huyo tu ndio mwepesi kutambua

Sent using Jamii Forums mobile app
Baraka za kipekee kabisa zimfikie wajina wangu, I'm praying that may your Princess grow up to make his dad proud of her.!!
 
Trust me nimeshawahi kuishi na mwanamke hajuagi kuapriciate kabisa na hajui kusema Asante wala samahani. ndani ni ugomvi kila iitwapo Leo mpaka ikafika mda nikawa kula mzingo na kujihisi na tatizo la nguvu za kiume kwa stress alizokuwa akinipa yule malaya wa kihehe! Girls jifunzeni kupitia huu uzi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana mkuu..
Binadamu tupo tofauti sana nadhani..!!
 
Carl umeandika vizuri sana, asante pia Kwa kutambua uwepo wa wanaume katika maisha yenu, hasa wale wanaotimiza majukumu yao ipasavyo. Ni kweli tunafanya sacrifice kwa ajili ya watoto na wake zetu.

Umekuwa na mwandiko kama Heaven Sent vile!
Ahsante sana Bro Eli,
Mnafanya mengi na makubwa mno, Mungu azidi kuwabariki kila iitwapo Leo.! Nyie ndiyo mwangaza wetu.!!

Jamani Heaven,☺
 
Back
Top Bottom