Heshima lazima iwepo

Heshima lazima iwepo

nyambari

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
355
Reaction score
174
attachment.php


Ndiyo kijana endelea na mwendo huo huo hakuna break nasi tutaendelea kukupa heshima zote unazostahili

nape.JPG
 
umesema vyema, 'heshima anazostahili', ujira sahihi kwa kazi sahihi. magamba juu!!
 
Gamba ni gamba tu, liwe dogo au kubwa yote tabia ni moja. U F I S A D I mtupu.
 
mi nimekereka kuona 2 hz rangi hapa magamba watawapata waliowafelisha shule sio sisi mi nimesafa mtoto wa peasant
 
mimi sielewi kwani hawo ni wanajeshi?
 
Nachukia sana magwanda ya kijani yaani kama ninavyomchukia shetani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom