nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,026
- 14,962
75000 baada ya kutoa gharama zote?Naomba kujua kama hesabu ya siku ya dereva wa daladala has Dar, inatakiwa ipande kwa kiasi gani ?
Kwa sababu vipuri vimepanda bei sana .
Nina daladala 3 zinatoka buza hadi mnazi mmoja na kwa siku nakusanya 75000 kwa kila daladala, Niongeze kiasi gani kwa haya mabadiriko ya nauli yalitangazwa .