Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,487
- 62,886
ha ha ha mahesabu mengine yanachochea ubongo usizeeke haraka.Au basi.........kikubwa tujue haya matendo + or - zingine mbwembwe tu!
ha ha ha mahesabu mengine yanachochea ubongo usizeeke haraka.Au basi.........kikubwa tujue haya matendo + or - zingine mbwembwe tu!
Na kama Lecturer ni mpenda vibwenye atatafuna sana.
Anakuwa anaminya kimyakimya.😀Sana mkuu, vibwenye ndio vinatuponza. Course work tuu, ticha anatoa ngumu ili wajae ofisini. 😊
Duhh ulikasirishwa na kitu gani?Hata Mimi nyumbani naheshimika Sana, nilipo fika chuoni, nilikuwa najitambua ni mtu wa dini Sana, kinyume na matarajio yangu nikaanza kubadilika kidogo kidogo.
Nikawa sjali chochote, kuna lecture alikuwa anapigishaga nuclear physics alikuwa anakeraga sana, Ile siku ilikuwa nimpige. Alishangaa Sana, akaniambia niache bangi
Mbona kwenye nutrition hawajaiweka kama inasaidiaha ha ha mahesabu mengine yanachochea ubongo usizeeke haraka.
Anakuwa anaminya kimyakimya.😀
Walisahau ila utokana na utafiti wa equation x amevumbua kwenye hilo.Mbona kwenye nutrition hawajaiweka kama inasaidia
Na ngoma wanapatiaga humohumo,utamu kunoga.Duh! Umenikumbusha ticha wa Econometrics, alijimegea vibwenye sio poa. 😊
Shetani ana mawakala wake kila sehemu!Masoma siyo magumu ila yanafanywa kuwa magumu makusudi na walimu.
Siku ya kwanza mwalimu akiingia lecture room anawaambia kabisa atawakamata nusu ya darasa.
Mwl anaona sifa kufelisha
unified science hiyo..mambo ya Joseph Mungai😅😅😅😅Ukiniwekea hesabu kwenye somo lolote basi ujue nimefeli. Sijawahi kujua hesabu na ilifika kipindi nikakubaliana na hali na nikaliweka pembeni kabisa. Nikawa nalamba miswaki tu mpaka Necta.Elimu ya bongo jau; kuna kipindi wakaweka Physics na Chemistry kuwa somo moja, inasikitisha sana bongo hii.
Bora akae hostel.Duhh ulikasirishwa na kitu gani?
Huyu mdogo wangu hawezi ni mstaarabu huwezi amini nilikuwa nikipika ataosha vyombo, na nyumba anadeki! Kwa mziki wa mama yangu sidhani kama atathubutu! Hizo hekaheka tunaziweza mimi na anayenifuata ndio tulikuwa wa moto! Ila huyu hawezi bana..
Hapa tu nimemwambia afikie kwangu naona anasitasita, anaulizia tu hostel za chuo😊
Kweli mkuu! Mimi mpaka sasa huwaga na solve hesabu mdogo mdogo, huwa na enjoy Sana, ni Ile feeling kama uko shuleha ha ha mahesabu mengine yanachochea ubongo usizeeke haraka.
Sawa!Bora akae hostel.
Alikuwa anapendaga kunionea, na hiyo siku nilikuwa nimeamka vibaya.
Kwani mdogo, ni ke au me, sema akikaa hostel atapata muda WA kusoma mazingira, na kuchambua kama matarajio yake yanaitikia vizuri.Sawa!
Aisee.. alihisi huna la kufanya!
Wa kiume, sio mdogo sana anaaza degree ana udogo gani? Ntamshauri akakae hostelKwani mdogo, ni ke au me, sema akikaa hostel atapata muda WA kusoma mazingira, na kuchambua kama matarajio yake yanaitikia vizuri.
Unajua hata akikaa kwako, naona haijaakaa poa, hostel ni chaguzi BoraWa kiume, sio mdogo sana anaaza degree ana udogo gani? Ntamshauri akakae hostel
🤣Nakumbuka kipindi nime admit pale mjini kati, akaja mama mmoja kajikwatua 👄 ya pink
Na kuniuliza hujambo,
Mimi, sijambo shikamoo
Aliyejikwatua:: mnasubiri kusajiliwa ndiyo nikamjibu
Eehe course gani,
Mmi, utawala
Yeye, course ngumu kila semester nili sup yaan bora ukasome insurance
Mimi okay mama mkwatuaji
Cc Seran
😂😂......