HESABU kitu cha ajabu

HESABU kitu cha ajabu

Najulia wapi sasa nimezoea kulipia bidhaa uku nikiwa tayari najua ni kiasi gani natakiwa kurejeshewa
Unaona sasa! Hebu watupishe huko na mahesabu yao 🚮
 
Ile hesabu ilinifanya, niwe naenda kujificha na kulia Kwanza, alafu kibaya ukifanya vibaya, wananiambia Mzee wako ana hasara sana
Duh pole sana! Sasa mdogo wangu kachagua kwenda kusoma engineering ila anapenda hayo masomo na kayabutua! Sijui itakuwaje🫢
 
Sikumbuki, waliweka ikawa umafanya pepa moja, kuna madogo walifanya hiyo pepa. 😊
Ni mateso! Sisi vilaza tungezungusha mno! Kama hapo tu yalikuwa separate na nikaambulia d physics🙆🏽‍♀️
 
Duh pole sana! Sasa mdogo wangu kachagua kwenda kusoma engineering ila anapenda hayo masomo na kayabutua! Sijui itakuwaje🫢
Nina Imani atafanya vizuri, usisahau kumfuatilia maendeleo yake mara moja moja, maana hawa wadogo zetu, huwaga wanajisahau Sana.
 
Calculus; Ukijua tu ni kanuni gani swali linakuhitaji utumie na ukiandika, unapata alama. POWER RULE, Product rule, ukiandika tu, mwalimu anakupa alama, njia pia ukionyesha inakupa alama. Sasa kuna somo rahisi na zuri kama hesabu?
Kui derive ile formula, limit, h>0 [h approaching to zero]pale kuna utamu wake pale.
 
Back
Top Bottom