Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,080
- 8,222
Kwa mkoa wangu alokua na E ndo aliongoza mkoa mzimaMimi sijui E
Kwa mkoa wangu alokua na E ndo aliongoza mkoa mzimaMimi sijui E
Huenda ndio mimiKwa mkoa wangu alokua na E ndo aliongoza mkoa mzima
Ukijua kuhesabu pesa tu hizi nyingine mbwembwe tuHuenda ndio mimi
Umenichekesha Ulipo sema Kila semester uka sup😁,Nakumbuka kipindi nime admit pale mjini kati, akaja mama mmoja kajikwatua 👄 ya pink
Na kuniuliza hujambo,
Mimi, sijambo shikamoo
Aliyejikwatua:: mnasubiri kusajiliwa ndiyo nikamjibu
Eehe course gani,
Mmi, utawala
Yeye, course ngumu kila semester nili sup yaan bora ukasome insurance
Mimi okay mama mkwatuaji
Cc Seran
Weeee teeena ilikuwa pure au Bams.Mimi sijui E
Hahahahaaaaa yani nitoke stamico mpaka huko, halafu mathematic ugonjwa wa taifa nitaambulia kula vumbi tu?njoo usome twisheni hapa mtaa wa mtakuja
Mimi sijui E
Tatizo ata ukijua hesabu katika nchi zetu hizi ni sawa na kazi bure, hautovumbua kitu, muhimu ujue hesabu za kutoa na kujumlisha tu.Hahahahaaaaa yani nitoke stamico mpaka huko, halafu mathematic ugonjwa wa taifa nitaambulia kula vumbi tu?
Hahahah rights n responsibilities mbona freshy tu😎Hisabati ni somo ambalo mtu hawezi kushindwa akilijua. Ukitaka kujua hilo, angalia jinsi walimu wanavyoweka alama kwenye hisabati.
Calculus; Ukijua tu ni kanuni gani swali linakuhitaji utumie na ukiandika, unapata alama. POWER RULE, Product rule, ukiandika tu, mwalimu anakupa alama, njia pia ukionyesha inakupa alama. Sasa kuna somo rahisi na zuri kama hesabu?
Katika maswali matano ya hisabati yenye alama 20, ukifanya matatu vizuri. Hupati supp chuo kikuuu. Ukijua hisabati, unajua tu.
Ni sawa na Economics; kuna swali la maelezo, unaweza kwenda OP, lakini swali la hesabu unapata hata 10 kati ya 25. Kwa maoni yangu, hisabati ni somo zuri ukilijua, haliwezi kukuangusha moja kwa moja ni ngumu.
Mtu anaulizwa "mention the rights and the responsibilities of a citizen" ni swali gumu sana hilo. Tofauti na ukiambiwa kwenye Calculus; "Any number power zero is equal to one, demonstrate". Hapo unaelezea basic rule ya integral rule unachukua maksi hizo. 😊
Nimekumbuka maisha ya wakati tuko darasani Lecturer aliyekuwa anatufundisha course ya abstract algebra na yule wa course ya topology, walinifanya niishi kama mtawa, nilikuwa ninajifungia ndani ninakokotoa hadi kichwa kinawaka moto.Matatizo ya kusoma kikoloni haya, siku hizi kila kitu cha Stanford na MIT kiko Youtube na zaidi preprint papers zipo www.arxivx.org , unajifunza huku una pause unavyotaka.
Tatizo ukiwa unasoma huku una majukumu ya familia hesabu huwezi kuzielewa.
Ukisoma huku unafukuzia wanawali huwezi kuzielewa.
Ukisoma huku unafakamia pombe huwezi kuelewa.
Ukisomeshwa na ma profesa wanaotaka kukukomesha huwezi kuelewa hesabu wala somo lolote.
Ukisoma huku una njaa hujui mlo utatoka wapi, huwezi kuelewa.
Ukisoma kwa kupanda daladala vikumbo vya watu tu vinaondoa ulivjojifunza.
Hesabu zinataka utulivu, kazi yako iwe shule tu, ikibidi uwe kama mfungwa fulani wa hesabu unajiondoa akili kama Grigori Perelman.
![]()
Grigori Perelman - Wikipedia
en.wikipedia.org
Yani wenzako wanaangalia mpira huko, wanafukuzia mademu, wewe una solve ma Riemann Zeta function.
Unakuwa mtawa wa dini ya hesabu.
Wengi hawawezi nidhamu hiyo.
Umeona eeh, wanaongelea sijui calculus we unaijua kwani?Ukijua kuhesabu pesa tu hizi nyingine mbwembwe tu
Ooooh! unaijua log tuanzie hapa kwanza!Tatizo ata ukijua hesabu katika nchi zetu hizi ni sawa na kazi bure, hautovumbua kitu, muhimu ujue hesabu za kutoa na kujumlisha tu.
Pure ya nini mie nikafie shule, nilisoma o level huko hakuna nilichokuwa naelewa!🙌🏾Weeee teeena ilikuwa pure au Bams.
Yale mahesabu yamesumbua sana enzi wati wanasoma hata vitabu ni vya ngama, ila siku hizi mengine ukienda Youtube ukiona yalivyoelezewa kwa urahisi unaweza kucheka tulivyoteseka nayo.Nimekumbuka maisha ya wakati tuko darasani Lecturer aliyekuwa anatufundisha course ya abstract algebra na yule wa course ya topology, walinifanya niishi kama mtawa, nilikuwa ninajifungia ndani ninakokotoa hadi kichwa kinawaka moto.
Nikisogeza shingo nipumue kidogo najikuta niko kwenye Fourier series au triple integral nako unaona mapicha hadi kuoga unahisi kama unapoteza muda.
Wewe kipindi cha ndalichako wlaikuwa wanahangaika, wakaweka E, nilipomaliza tu six E ikatolewa wakaweka merit na demerit sijui! Ilikuwa ni vituko vya BRN 😆Enzi zetu ni A,B,C,D na F. Ulijitahidi sana hongera. 😊
Najulia wapi sasa nimezoea kulipia bidhaa uku nikiwa tayari najua ni kiasi gani natakiwa kurejeshewaUmeona eeh, wanaongelea sijui calculus we unaijua kwani?
Sijui inawasaidia nini kwa sasa🫢
Hakika, tuliteseka kusoma enzi hizo tofauti na ilivyo kwa sasa.Yale mahesabu yamesumbua sana enzi wati wanasoma jata bitqbu ni vya ngama, ila siku hizi mengine ukienda Youtube ukiona yalivyoelezewa kwa urahisi unaweza kucheka tulivyoteseka nayo.
Calculus daaah! Ule mzigo ulininyanyasa Bana, mpaka kuja kuujua nilijiona bonge la mjinga, kama sio uvivuUmeona eeh, wanaongelea sijui calculus we unaijua kwani?
Sijui inawasaidia nini kwa sasa🫢
Hahahah rights n responsibilities mbona freshy tu😎
Wewe kipindi cha ndalichako wlaikuwa wanahangaika, wakaweka E, nilipomaliza tu six E ikatolewa wakaweka merit na demerit sijui! Ilikuwa ni vituko vya BRN 😆