HESABU kitu cha ajabu

HESABU kitu cha ajabu

Nina Imani atafanya vizuri, usisahau kumfuatilia maendeleo yake mara moja moja, maana hawa wadogo zetu, huwaga wanajisahau Sana.
Hmm huyu anapenda kusoma mpaka anaboa, alipomaliza tu six akaanza kufundisha tution mpaka sasa! Yuko vzr anajitambua sana!
 
Umeona eeh, wanaongelea sijui calculus we unaijua kwani?

Sijui inawasaidia nini kwa sasa🫢

Elimu yetu hii tunasoma vitu vingi ambavyo havina applicability kwenye maisha yetu. Tunachukua muda mwingi kukaa shule pia bila sababu ya msingi. Mbele huko mtu miaka 17/18 ana degree, anaingia kwenye uzalishaji mali. Mtu anamaliza degree ana miaka 22-25, anasota anakuja kupata kazi miaka 30.
 
Mpaka uchungu wa degree yake uishe anakuwa ameshasota mno!
 
Kui derive ile formula, limit, h>0 [h approaching to zero]pale kuna utamu wake pale.

Calculus ukimkuta mwalimu mzuri asie na ego, anawafundisha muelewe na mitihani anapima ufahamu tuu.
Sasa ukikuta Lecturer anataka kuwaonyesha sifa; course work tuu anashika nusu ya darasa. Anatoa maswali magumu ili awashike. 😊
 
Ooooh! unaijua log tuanzie hapa kwanza!
1789496766666.png
 
Huyu sidhani, anajitambua sana ana adabu na anajiongoza mara zote! Nitashangaa sana aisee!
Hata Mimi nyumbani naheshimika Sana, nilipo fika chuoni, nilikuwa najitambua ni mtu wa dini Sana, kinyume na matarajio yangu nikaanza kubadilika kidogo kidogo.

Nikawa sjali chochote, kuna lecture alikuwa anapigishaga nuclear physics alikuwa anakeraga sana, Ile siku ilikuwa nimpige. Alishangaa Sana, akaniambia niache bangi
 
Back
Top Bottom