NakaziaWewe ni wa kupigwa Kofi sio kupigiwa makofi.
Msinishangae sana Ile kasumba ya mwanaume kusherehekea birthday ni ushamba sio ya maana kila mtu ana vitu vyake vinavyo mpatia furaha Leo nimeongeza mwaka mmoja naomba mnipigie makofi 🎂🎈
Mtego wa birthdaySijae
Sijaelewa
Una marinda???hahaMsinishangae sana Ile kasumba ya mwanaume kusherehekea birthday ni ushamba sio ya maana kila mtu ana vitu vyake vinavyo mpatia furaha Leo nimeongeza mwaka mmoja naomba mnipigie makofi 🎂🎈
👏👏👏👏👏👏Msinishangae sana Ile kasumba ya mwanaume kusherehekea birthday ni ushamba sio ya maana kila mtu ana vitu vyake vinavyo mpatia furaha Leo nimeongeza mwaka mmoja naomba mnipigie makofi 🎂🎈
Wanaume mnaoshabikia birthday mna matatizo sana, sasa habari na mume zimetoka wapi?Hapana mmeo kakuaminishaje kuhusu ukipost ivyo unakuwa demu?
Unampa moyo eeehMore love less ego champ,
nashangaa watu Wana kukejeli ikiwa una haki ya kikatiba ya kuamua na kuchagua kile ulicho ona ni sahihi.
Kwanza ungemuuliza mbona ameanza na taarabu ya kujitetea kulainisha mada yakeMore love less ego champ,
nashangaa watu Wana kukejeli ikiwa una haki ya kikatiba ya kuamua na kuchagua kile ulicho ona ni sahihi.