Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,406
- 102,524
mkuu kwani katiba ina semaje kuhusu uhuru wa mtu binafsi?, si haki anayo na maamuzi ya kwake.Unampa moyo eeeh
sisi hatulaswi kumpangia kuwa ni vizuri au vibaya, as long as kaamua basi na afanye apendacho